Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kiazi sana huyu jamaa.Huyu jamaa choko saaana,kaja kajijibu kama mahondaw...kipnd hcho ID ya smart911 ilikuwa kimya..saiv kaja kujib kwa ID ya smart911 ambapo ID ya Mahondaw ipo kimyaaaa!
Aisee tupeane zamuNamtaka mahondaw!🙂🙂🙂
Hatupendi kuongea ongea... Kwa sababu ukiongea sana unaonekana una show off... Ki ukweli tuna lots of plans mimi na mahondaw na mpaka sasa hivi tumeshafanikisha asilimia 90.....So sweet!, nawafagilia sana na mapenzi yenu open and mubashara. Msiruhusu kidudu mtu kiwaharibie.
Ni kiazi sana huyu jamaa.
Ngoja niihamishie kwenye jukwaa la jokesKama ni hivyo bhasi thread iamishwe kule kwenye jokes
Umaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi... Usahihi unakuja pale kuepuka watu kama hawa...Aliefanya hivo sio vzur and mu mpuuze tu... Lkn Mkuu Mahusiano yenu yasiwe mahusiano ya Jf mnachafua mandhari humu. Mnafanya ez if wengi watoto humu... Huo ni ushamba...
Huyu fala na Mahondonga yake wapigwe ban ya Maisha kwA kutwist IQ zetu. Mbona ID zote hazichat wakati mmoja?Huyu jamaa choko saaana,kaja kajijibu kama mahondaw...kipnd hcho ID ya smart911 ilikuwa kimya..saiv kaja kujib kwa ID ya smart911 ambapo ID ya Mahondaw ipo kimyaaaa!
Mkuu matusi ulitukanwa yameniumiza sana hasa pale alipomgusa bi mkubwa kumbe hata hayupo duniani ndo maana mimi nitukane uwezavyo ila usimguse mama angu japo hayupo duniani... Daaah [emoji24][emoji24][emoji24]Naona umemianzishia thread kwa another iD
It was supposed to be a surprise and only between us.. Hata yeye alikuwa hajui... But kwa hisira nimema tu... I wish isiiuone huo mstari...Woow hatimae Alhamis unamvisha pete mohondaw... Itabidi nije kupiga makofi jamani lol
Dude!Mkuu matusi ulitukanwa yameniumiza sana hasa pale alipomgusa bi mkubwa kumbe hata hayupo duniani ndo maana mimi nitukane uwezavyo ila usimguse mama angu japo hayupo duniani... Daaah [emoji24][emoji24][emoji24]
Mtoa mada ndiyo nia yake muamini hivi... But nothing will pull me down...Naona umemianzishia thread kwa another iD
Binadamu hakatazwi kusema kile anachokiwaza yeye... But the truth will remain me and mahondaw we love each other sana...Hahha eti spanish... hahaha ndio maana ukaanzisha thread kqa id nyingine... ili upate sababu.
Acheni dramaa na movie kama kina uwoya
Mkuu kwa haya matusi mmmh sijui mtu anakuaje na mpenz wa ivi kwanini usitulie tu ungeonekana na busara lakini matusi haya si kwa mwanamke ambae ana mpz mwny malengo au ni mke na mume huwezi tukana ivi ungekaa kimya tuHaki tena Ni mengi sana yanaendelea chini kwa chini tena ni wanaume wazima hovyooo
Utafikiri wanafilwafilw mxxiiiiiiiooouuuusssss
It is least of my concerns to care about what people say or think about me and my mahondaw... You can believe whet ever u want.. Ndiyo maana hata kuna uhuru wa kuabudi... Sikulazimishi uamini ukweli wangu... Endelea kuamini uongo wako...Huyu jamaa choko saaana,kaja kajijibu kama mahondaw...kipnd hcho ID ya smart911 ilikuwa kimya..saiv kaja kujib kwa ID ya smart911 ambapo ID ya Mahondaw ipo kimyaaaa!
Hatufuati kile unachotaka wewe... Hatupo kwa ajili ya kumridhisha mtu yoyote... Kwa sababu what do its none of your business... I have nothing to explain to anyone...Huyu fala na Mahondonga yake wapigwe ban ya Maisha kwA kutwist IQ zetu. Mbona ID zote hazichat wakati mmoja?
Mimi na mahondaw tunajuana.. Tunafahamiana na tunafanya mengi na tuna plan kibao... Ndiyo maana tupo serious kama tulivyo...unajua kilichofanyika leo kimesababisha athari sana na kama mpo kwenye jokes hebu jirekebisheni... nijuavyo mimi hapa JF wengi hatujuani na ndo maana nina uwezo wa kumtania yoyote.. mfano mzuri miss chagga muda mwingi namwita baby.. mara mke ila nje na JF sijawahi hata kumuona!!!
kama kuna mengine hebu jaribu ku'fix nje na JF mnaharibu sana wakuu...!!!!