dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Sawasawa..!!!nakula kwa macho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa..!!!nakula kwa macho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo yenu malizeni wenyewe huko bhana Labda kama mmenunua jukwaa hapo sawa... Humu mnawat wakubwa wakiona utumbo huu wanaanza kudharau Jf Mnafanya vibaya na utoto huuHatufuati kile unachotaka wewe... Hatupo kwa ajili ya kumridhisha mtu yoyote... Kwa sababu what do its none of your business... I have nothing to explain to anyone...
Tunaishi maisha yetu...
word!Huyu jamaa choko saaana,kaja kajijibu kama mahondaw...kipnd hcho ID ya smart911 ilikuwa kimya..saiv kaja kujib kwa ID ya smart911 ambapo ID ya Mahondaw ipo kimyaaaa!
Afu mbon unaandika kam mahondaw?Mtoa mada ndiyo nia yake muamini hivi... But nothing will pull me down...
Ndiyo maana nikasema ajaribu mbinu tofauti...
embu tuambie mapya basiHalafu hamna maneno mengine povuu povuu
Khaah!
New word puliiiiiiiiiiiiiiizzzzzz povu has expired
Mkuu kwa haya matusi mmmh sijui mtu anakuaje na mpenz wa ivi kwanini usitulie tu ungeonekana na busara lakini matusi haya si kwa mwanamke ambae ana mpz mwny malengo au ni mke na mume huwezi tukana ivi ungekaa kimya tu
Anakuhusu nini??Ni kiazi sana huyu jamaa.
Afu mbon unaandika kam mahondaw?
Kwa sababu smart alikuwa hapendi kuniquote wala kujibu post zangu alininunia kumbe mm sina hata time na demu wake hewa m nazingua tu