maharage ya nazi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 344
- 230
Huyo either ni kikuyu kenya au ethiopia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi... Usahihi unakuja pale kuepuka watu kama hawa...
Kutokuwa sahihi ni... Why not living our lives... As long as hatuvunji sheria za nchi... Why not show all the love to mahondaw wangu...
Nikuambie kitu... Kheri kuwa muwaza na mkweli utaishi maisha ya amani sana... Kuliko kuishi maisha ya kujificha ficha...
Hatuna sababu ya kujificha ficha kwa sababu its our live... Why tujifiche wakati nanae mahondaw tu... Na yeye anae Smart911 tu...
Hata JF siku ikiamua kuweka vitanda humu ndani tutalala tu bila woga...
kumbe wewe unamzuga InnaDuuh, mahondaw hilo povu lote kama la wolper kumbe uhusiano wako ni real?
Mimi all the time nilikuwa naleta mzaha na kuchukulia poa.
Sikufikiria kuwa out of Jf kuna watu ambao wana plan zao na wanaedeleza mambo yao in reality.
Sasa hivi I can imagine.
Pole sana!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]U can't be serious,wew cyo fortune ka unabisha nikuanike vizur
Unatongozaga kila baada ya dk ngapi et if I may ask[emoji85]Hivi kati yangu mimi na wewe nani kawa mkimya?? We hata nikikuwhatsapp unanichunia... au kwakuwa nilikutongoza??
Msamehe bure mama.Sio kumeza mtu kuna wanaume humu Wana mambo ya ajabu sana laiti ungejua ungenionea huruma tu. wanaume wazima haoo na pumb zao tikisa tikisa mpaka kwa Smart mwanaume unaanzaje kuongea kwa mwanaume mwenzako lakini!!?? Dahhhhhhhhhhh
Teh teh teh[emoji23] [emoji23] yani nimepitia commentsMiye wapi mimi ni kibibi kabisa kishamba cha hovyo hovyo sina mbele wala nyuma nipo nipo tu nimepaukaaaa mshamba nambari moja duniani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu jamaa choko saaana,kaja kajijibu kama mahondaw...kipnd hcho ID ya smart911 ilikuwa kimya..saiv kaja kujib kwa ID ya smart911 ambapo ID ya Mahondaw ipo kimyaaaa!
Behaviorist wewe huwezi mkera mtu humu!!! Hamna asiekujua kua wewe mchokozi [emoji23][emoji23]Namtaka mahondaw!🙂🙂🙂
[emoji28] nmekumic paprika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamtaki amini kama penzi lao ni la kweli?
Kwani wanawapunguzia nini jamani!?
Amekusikia naona kama ameanza kuvua gauni lake hv!Nimekuwa namfatilia mrembo huyu kwa muda mrefu huwa ananikosha sana kwa komenti zake, ucheshi wake na hata masihara yake.
Mahondaw njoo hapa nikuhonge mgodi wangu wa hapa Kiwira ili nikuoe na nikupeleke Ibiza ukale maisha sio vumbi la hapa bongo
Mahondaw popote ulipo sikia kilio changu.
![]()
Asante mkuu[emoji28] nmekumic paprika
Namwona Gilbert ...! Reported by CCTV camera PaprikaAsante mkuu
Hahahahaha khaa....Unatongozaga kila baada ya dk ngapi et if I may ask[emoji85]