Nampenda sana Mahondaw

Nampenda sana Mahondaw

Umaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi... Usahihi unakuja pale kuepuka watu kama hawa...

Kutokuwa sahihi ni... Why not living our lives... As long as hatuvunji sheria za nchi... Why not show all the love to mahondaw wangu...


Nikuambie kitu... Kheri kuwa muwaza na mkweli utaishi maisha ya amani sana... Kuliko kuishi maisha ya kujificha ficha...


Hatuna sababu ya kujificha ficha kwa sababu its our live... Why tujifiche wakati nanae mahondaw tu... Na yeye anae Smart911 tu...


Hata JF siku ikiamua kuweka vitanda humu ndani tutalala tu bila woga...


Kwa kweli..
Smart&mahondaw kumbukeni you only have one life to live. Live and Love to the fullest.

Achaneni na negativity, go and have fun.
TGIF Y'ALL!
 
Duuh, mahondaw hilo povu lote kama la wolper kumbe uhusiano wako ni real?
Mimi all the time nilikuwa naleta mzaha na kuchukulia poa.

Sikufikiria kuwa out of Jf kuna watu ambao wana plan zao na wanaedeleza mambo yao in reality.

Sasa hivi I can imagine.
Pole sana!
kumbe wewe unamzuga Inna
 
Aisee
 

Attachments

  • MrW5mUX.gif
    MrW5mUX.gif
    382.9 KB · Views: 24
Unaweza kukuta hata 'mayenu mayenu' huyo hawezi kwa bed.
 
Sio kumeza mtu kuna wanaume humu Wana mambo ya ajabu sana laiti ungejua ungenionea huruma tu. wanaume wazima haoo na pumb zao tikisa tikisa mpaka kwa Smart mwanaume unaanzaje kuongea kwa mwanaume mwenzako lakini!!?? Dahhhhhhhhhhh
Msamehe bure mama.
 
Miye wapi mimi ni kibibi kabisa kishamba cha hovyo hovyo sina mbele wala nyuma nipo nipo tu nimepaukaaaa mshamba nambari moja duniani
Teh teh teh[emoji23] [emoji23] yani nimepitia comments
Zako lkn hii imenibidi nichekeee... Waambie wenzio ukweli maana wakwaree wa humu ni noumaaa....au unaogopa kumpoteza
Smart
 
Huyu jamaa choko saaana,kaja kajijibu kama mahondaw...kipnd hcho ID ya smart911 ilikuwa kimya..saiv kaja kujib kwa ID ya smart911 ambapo ID ya Mahondaw ipo kimyaaaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamtaki amini kama penzi lao ni la kweli?
Kwani wanawapunguzia nini jamani!?
 
Nimekuwa namfatilia mrembo huyu kwa muda mrefu huwa ananikosha sana kwa komenti zake, ucheshi wake na hata masihara yake.
Mahondaw njoo hapa nikuhonge mgodi wangu wa hapa Kiwira ili nikuoe na nikupeleke Ibiza ukale maisha sio vumbi la hapa bongo
Mahondaw popote ulipo sikia kilio changu.
C91bVUKXoAAJaNa.jpg
Amekusikia naona kama ameanza kuvua gauni lake hv!
 
Back
Top Bottom