Nampenda sana Mahondaw

..So sweet!, nawafagilia sana na mapenzi yenu open and mubashara. Msiruhusu kidudu mtu kiwaharibie.
Hatupendi kuongea ongea... Kwa sababu ukiongea sana unaonekana una show off... Ki ukweli tuna lots of plans mimi na mahondaw na mpaka sasa hivi tumeshafanikisha asilimia 90...
 
Aliefanya hivo sio vzur and mu mpuuze tu... Lkn Mkuu Mahusiano yenu yasiwe mahusiano ya Jf mnachafua mandhari humu. Mnafanya ez if wengi watoto humu... Huo ni ushamba...
Umaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi... Usahihi unakuja pale kuepuka watu kama hawa...

Kutokuwa sahihi ni... Why not living our lives... As long as hatuvunji sheria za nchi... Why not show all the love to mahondaw wangu...


Nikuambie kitu... Kheri kuwa muwaza na mkweli utaishi maisha ya amani sana... Kuliko kuishi maisha ya kujificha ficha...


Hatuna sababu ya kujificha ficha kwa sababu its our live... Why tujifiche wakati nanae mahondaw tu... Na yeye anae Smart911 tu...


Hata JF siku ikiamua kuweka vitanda humu ndani tutalala tu bila woga...
 
Basi huyo jamaa bwege
Watu wengine wanajua vinaelea tu vyenyewe... Hawajui kama vimeundwa... mahondaw she is a very simple understanding beautiful young lady... Hana makuu ila kummiliki its not a joke.. Ujipange...
 
Woow hatimae Alhamis unamvisha pete mohondaw... Itabidi nije kupiga makofi jamani lol
It was supposed to be a surprise and only between us.. Hata yeye alikuwa hajui... But kwa hisira nimema tu... I wish isiiuone huo mstari...
 
unajua kilichofanyika leo kimesababisha athari sana na kama mpo kwenye jokes hebu jirekebisheni... nijuavyo mimi hapa JF wengi hatujuani na ndo maana nina uwezo wa kumtania yoyote.. mfano mzuri miss chagga muda mwingi namwita baby.. mara mke ila nje na JF sijawahi hata kumuona!!!
kama kuna mengine hebu jaribu ku'fix nje na JF mnaharibu sana wakuu...!!!!
 
Hahha eti spanish... hahaha ndio maana ukaanzisha thread kqa id nyingine... ili upate sababu.
Acheni dramaa na movie kama kina uwoya
Binadamu hakatazwi kusema kile anachokiwaza yeye... But the truth will remain me and mahondaw we love each other sana...
 
Haki tena Ni mengi sana yanaendelea chini kwa chini tena ni wanaume wazima hovyooo
Utafikiri wanafilwafilw mxxiiiiiiiooouuuusssss
Mkuu kwa haya matusi mmmh sijui mtu anakuaje na mpenz wa ivi kwanini usitulie tu ungeonekana na busara lakini matusi haya si kwa mwanamke ambae ana mpz mwny malengo au ni mke na mume huwezi tukana ivi ungekaa kimya tu
 
Huyu jamaa choko saaana,kaja kajijibu kama mahondaw...kipnd hcho ID ya smart911 ilikuwa kimya..saiv kaja kujib kwa ID ya smart911 ambapo ID ya Mahondaw ipo kimyaaaa!
It is least of my concerns to care about what people say or think about me and my mahondaw... You can believe whet ever u want.. Ndiyo maana hata kuna uhuru wa kuabudi... Sikulazimishi uamini ukweli wangu... Endelea kuamini uongo wako...
 
Huyu fala na Mahondonga yake wapigwe ban ya Maisha kwA kutwist IQ zetu. Mbona ID zote hazichat wakati mmoja?
Hatufuati kile unachotaka wewe... Hatupo kwa ajili ya kumridhisha mtu yoyote... Kwa sababu what do its none of your business... I have nothing to explain to anyone...


Tunaishi maisha yetu...
 
Mimi na mahondaw tunajuana.. Tunafahamiana na tunafanya mengi na tuna plan kibao... Ndiyo maana tupo serious kama tulivyo...

Tusingekuwa serious, tungeona poa tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…