Nampenda sana Mahondaw

[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji182] [emoji182] [emoji182]
 
Watu wanafiki sana humu hujui tu
Wanaume wanaenda kabisa kwachu kwachu na vimatako vyao kama ubao haooo mpaka kwa Smart kuongea ujinga ilimradi tu
Pumbavvu kabisa wanaume wa hivi
Kwa matusi NA lugha zako hizi za ajabu ajabu unaonekana umekosa vigezo vya kuwa mke....Ningekuwa mm ndio Hugo sijui Smart nakupiga chini tu maana huna heshima, kama unaweza kumtukana MTU usiyemjua itakuwaje kwa hao unaoishi nao huko mtaani?
 
Challenges indeed love... And how over come them.. Is by ignoring all... What makes us happy we will continue dong it...

We will do what we like to do and no body can do about it..

Khakhaakhaaaaa siye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol

Naonaje aibu hapa khakha mengine
Wacha nifunge domo langu as you advice me..
 
Kwa matusi NA lugha zako hizi za ajabu ajabu unaonekana umekosa vigezo vya kuwa mke....Ningekuwa mm ndio Hugo sijui Smart nakupiga chini tu maana huna heshima, kama unaweza kumtukana MTU usiyemjua itakuwaje kwa hao unaoishi nao huko mtaani?

Usilolijua nikama usiku wa giza
Anyway asante
 
Oh yeah yeah Tehteh
Woyoooooooooooo that's Smart911 my beibeeeeeeeee

Nabado Yani mi nawaangaliaaqaaqaqaaaa
Khakhaakhaa naishia kucheka kwa dharaaaau
Kuna member thread zao na comment zimejaa maneno makali sana... Na mpaka viungo vya uzazi kutajwa... Lakini wanaonekana ma-star...

mahondaw ana express her feelings kwa wema... Anaonekana anamatusi hafai kuwa mke mwema...

Kuna mambo ya ajabu sana humu...ila yote maisha... Hutupo hapa kumridhisha yoyote... This is our live, and we gonna live it the way we want...
 
Watu wengine wanajua vinaelea tu vyenyewe... Hawajui kama vimeundwa... mahondaw she is a very simple understanding beautiful young lady... Hana makuu ila kummiliki its not a joke.. Ujipange...
Anakipi cha ajabu ambacho wengine hawana? Au yeye haendi toilet?
 
Si ndo hapo sasa
Na watuwache buana it's our life

Ila naonage aibu hapa kwa huu msimamo wa Smart911 dah khakhaakhaa mengine
Wacha nifunge domo langu
 
Kwa matusi NA lugha zako hizi za ajabu ajabu unaonekana umekosa vigezo vya kuwa mke....Ningekuwa mm ndio Hugo sijui Smart nakupiga chini tu maana huna heshima, kama unaweza kumtukana MTU usiyemjua itakuwaje kwa hao unaoishi nao huko mtaani?
Hhh ila Apo tu kwenye matusi bila woga na njemba nayo inafurah bila kumkanya huko waliko sijuw wakivarangana wenyewe inakua Hatar... Haka ni ka issue kadogo lakn inaonesha IQ Zao ndogo Wangeyamalz huko kmykmy
 
Reactions: Pep
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…