Nampenda sana Mahondaw

Nampenda sana Mahondaw

Kwa hiyo ndo mmekuja kujitangaza hapa jf au? Ulimbukeni wa mapenzi bhana tabu kweli. Mambo yenu ya ndani kuyaweka hadharani ili iweje? . Ila haina shida ndo mfumo wa maisha yenu mlioamua Ila tambueni kuwa mahusiano mnapo yaweka open sana hususani mitandaoni ndo mnakaribisha majaribu mengi sana kati yenu. Kwa mfano mm huyo mahondaw nilikuwa si mjui Ila kutokana na hii nimemfahamu na naweza kushawishika kumfahamu zaidi na hiyo si kwangu tu Bali kwa wanaume wengi. Na tuje upande wa smart Dada umejitahidi sana kumtaja sana na kumtetea na kuonyesha unamapenzi nae. Ila tambua kunawanawake wenzio umewapa nafasi ya kutaka kumfahamu zaidi maana inaonekana anakitu cha ziada ndo maana umetokwa povu na kuvurugwa. Hivyo basi kuanzia sasa tegemeeni kupata misukosuko mikubwa na muwe na vifua vya kuyavumilia maana ligi mmeianzisha wenyewe. Jifunzeni mfano kwa diamond na wema na harmonize na wolper yako wapi. Niushauri tu kama nitakuwa nimewakwaza nisameheni nimeongea kwa nia njema tu.
 
Mimi Nashangaa ndoa ni yao wangepiga chini wakachukulia utani hakna mtu angejua... Kumbe ndoa siku hizi ni matangazo huu ni utoto wa hali ya juu na Charlie naye anaonesha hana busara sehem kama hii mna date.. Hi Kali ya Karne...Nazan watajifunza kadri muda unavoenda... Ndoa sio ya utani hivi
 
Ofcooooooooooourse! Unajua nini
Dah jana nilichanyikiwa sana nikifikiria Smart911 wangu anipeperuke hivihivi huku naona dahhhhhhhhhhh it's not that easy
Hata Michael Bolton alisema....

When a man loves a woman
Can't keep his mind on nothin' else
He'd trade the world
For a good thing he's found
If she is bad, he can't see it
She can do no wrong
Turn his back on his best friend
If he puts her down

When a man loves a woman
Spend his very last dime
Trying to hold on to what he needs
He'd give up all his comforts
And sleep out in the rain
If she said that's the way
It ought to be

When a man loves a woman
I give you everything I got (yeah)
Trying to hold on
To your precious love
Please don't treat me bad

When a man loves a woman
Deep down in his soul
She can bring him such misery
If she is playing him for a fool
He's the last one to know
Loving eyes can never see

Yes when a man loves a woman
I know exactly how he feels

Siwezi kukuacha kirahisi rahisi mahondaw wangu... Nitachukia, nitakasirika mwisho wa siku i will forgive you...
 
Kwa hiyo ndo mmekuja kujitangaza hapa jf au? Ulimbukeni wa mapenzi bhana tabu kweli. Mambo yenu ya ndani kuyaweka hadharani ili iweje? . Ila haina shida ndo mfumo wa maisha yenu mlioamua Ila tambueni kuwa mahusiano mnapo yaweka open sana hususani mitandaoni ndo mnakaribisha majaribu mengi sana kati yenu. Kwa mfano mm huyo mahondaw nilikuwa si mjui Ila kutokana na hii nimemfahamu na naweza kushawishika kumfahamu zaidi na hiyo si kwangu tu Bali kwa wanaume wengi. Na tuje upande wa smart Dada umejitahidi sana kumtaja sana na kumtetea na kuonyesha unamapenzi nae. Ila tambua kunawanawake wenzio umewapa nafasi ya kutaka kumfahamu zaidi maana inaonekana anakitu cha ziada ndo maana umetokwa povu na kuvurugwa. Hivyo basi kuanzia sasa tegemeeni kupata misukosuko mikubwa na muwe na vifua vya kuyavumilia maana ligi mmeianzisha wenyewe. Jifunzeni mfano kwa diamond na wema na harmonize na wolper yako wapi. Niushauri tu kama nitakuwa nimewakwaza nisameheni nimeongea kwa nia njema tu.

Nakereketwaje kusema kitu hapa ila anyway
Wacha nifunge domo langu mie

Yashaisha mkuu as long as Smart911 is in my hands walaa sitetereki
Nivile tu kama wengi walivose ni panic

Smart911
TMPDOODLE1492853431592.jpg
 
Nimekuwa namfatilia mrembo huyu kwa muda mrefu huwa ananikosha sana kwa komenti zake, ucheshi wake na hata masihara yake.
Mahondaw njoo hapa nikuhonge mgodi wangu wa hapa Kiwira ili nikuoe na nikupeleke Ibiza ukale maisha sio vumbi la hapa bongo
Mahondaw popote ulipo sikia kilio changu.
C91bVUKXoAAJaNa.jpg
Mimi simjui huyu MTU.
Je anaishi wapi?
 
Yani koment ni nyingiii sijui nianzie wapi hata
Anyway today I only focus khakhaakhaa

Nacheka kwa dharaaaau
Smart911 sweetlove thanks so much
I love you even more my papito

espy mate nashukuru sana ushauri wako niliufanyia kazi thank you so much for your concern mate
Yo wellcome honey.
 
Hivi hii ni real?
Itakuwa nimeingia choo cha jinsia ingine
 
Kuna member thread zao na comment zimejaa maneno makali sana... Na mpaka viungo vya uzazi kutajwa... Lakini wanaonekana ma-star...

mahondaw ana express her feelings kwa wema... Anaonekana anamatusi hafai kuwa mke mwema...

Kuna mambo ya ajabu sana humu...ila yote maisha... Hutupo hapa kumridhisha yoyote... This is our live, and we gonna live it the way we want...
Tatizo watu wanapenda unafiki sana, kila mtu ana limits, kila mtu ana madhaifu pia, hakuna alokamilika. Na kizuri kwa huyu chaweza kuwa kibaya kwa mwingine na kinyume chake.

Cha msingi ni kile kinachowaweka pamoja.
 
Nimesoma pages zote,kila comment. Sasa najiuliza, huyu mtu kaja na thread yake anamzimia mahondaw sasa inakuwaje Smart911 akereke kiasi cha kuhatarisha uhusiano?!

Alichofanya mtoa mada ni sawa na mtu akutane na gf/mke wako mtaani halafu huyo mtu avutiwe nae na aamue kuweka mkakati wa kumpata, sasa wewe bf/mume utakasirika mpaka kutishia ndoa/uhusiano wako?

Au kuna kitu zaidi ya hii thread ambacho sisi wengine hatukijui ndio kimeleta huu mtafaruku?!
 
Back
Top Bottom