Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisupermarket kimemtekaAnakipi cha ajabu ambacho wengine hawana? Au yeye haendi toilet?
Teh teh teh[emoji23] [emoji23] yani nimepitia comments
Zako lkn hii imenibidi nichekeee... Waambie wenzio ukweli maana wakwaree wa humu ni noumaaa....au unaogopa kumpoteza
Smart
Mimi Nashangaa ndoa ni yao wangepiga chini wakachukulia utani hakna mtu angejua... Kumbe ndoa siku hizi ni matangazo huu ni utoto wa hali ya juu na Charlie naye anaonesha hana busara sehem kama hii mna date.. Hi Kali ya Karne...Nazan watajifunza kadri muda unavoenda... Ndoa sio ya utani hiviKwa hiyo ndo mmekuja kujitangaza hapa jf au? Ulimbukeni wa mapenzi bhana tabu kweli. Mambo yenu ya ndani kuyaweka hadharani ili iweje? . Ila haina shida ndo mfumo wa maisha yenu mlioamua Ila tambueni kuwa mahusiano mnapo yaweka open sana hususani mitandaoni ndo mnakaribisha majaribu mengi sana kati yenu. Kwa mfano mm huyo mahondaw nilikuwa si mjui Ila kutokana na hii nimemfahamu na naweza kushawishika kumfahamu zaidi na hiyo si kwangu tu Bali kwa wanaume wengi. Na tuje upande wa smart Dada umejitahidi sana kumtaja sana na kumtetea na kuonyesha unamapenzi nae. Ila tambua kunawanawake wenzio umewapa nafasi ya kutaka kumfahamu zaidi maana inaonekana anakitu cha ziada ndo maana umetokwa povu na kuvurugwa. Hivyo basi kuanzia sasa tegemeeni kupata misukosuko mikubwa na muwe na vifua vya kuyavumilia maana ligi mmeianzisha wenyewe. Jifunzeni mfano kwa diamond na wema na harmonize na wolper yako wapi. Niushauri tu kama nitakuwa nimewakwaza nisameheni nimeongea kwa nia njema tu.
Hata Michael Bolton alisema....Ofcooooooooooourse! Unajua nini
Dah jana nilichanyikiwa sana nikifikiria Smart911 wangu anipeperuke hivihivi huku naona dahhhhhhhhhhh it's not that easy
Kwa hiyo ndo mmekuja kujitangaza hapa jf au? Ulimbukeni wa mapenzi bhana tabu kweli. Mambo yenu ya ndani kuyaweka hadharani ili iweje? . Ila haina shida ndo mfumo wa maisha yenu mlioamua Ila tambueni kuwa mahusiano mnapo yaweka open sana hususani mitandaoni ndo mnakaribisha majaribu mengi sana kati yenu. Kwa mfano mm huyo mahondaw nilikuwa si mjui Ila kutokana na hii nimemfahamu na naweza kushawishika kumfahamu zaidi na hiyo si kwangu tu Bali kwa wanaume wengi. Na tuje upande wa smart Dada umejitahidi sana kumtaja sana na kumtetea na kuonyesha unamapenzi nae. Ila tambua kunawanawake wenzio umewapa nafasi ya kutaka kumfahamu zaidi maana inaonekana anakitu cha ziada ndo maana umetokwa povu na kuvurugwa. Hivyo basi kuanzia sasa tegemeeni kupata misukosuko mikubwa na muwe na vifua vya kuyavumilia maana ligi mmeianzisha wenyewe. Jifunzeni mfano kwa diamond na wema na harmonize na wolper yako wapi. Niushauri tu kama nitakuwa nimewakwaza nisameheni nimeongea kwa nia njema tu.
Mimi simjui huyu MTU.Nimekuwa namfatilia mrembo huyu kwa muda mrefu huwa ananikosha sana kwa komenti zake, ucheshi wake na hata masihara yake.
Mahondaw njoo hapa nikuhonge mgodi wangu wa hapa Kiwira ili nikuoe na nikupeleke Ibiza ukale maisha sio vumbi la hapa bongo
Mahondaw popote ulipo sikia kilio changu.
![]()
Sijasema hivyo best!!Kwahiyo kule kuna njaa kali?
Tatizo watu wanapenda unafiki sana, kila mtu ana limits, kila mtu ana madhaifu pia, hakuna alokamilika. Na kizuri kwa huyu chaweza kuwa kibaya kwa mwingine na kinyume chake.Kuna member thread zao na comment zimejaa maneno makali sana... Na mpaka viungo vya uzazi kutajwa... Lakini wanaonekana ma-star...
mahondaw ana express her feelings kwa wema... Anaonekana anamatusi hafai kuwa mke mwema...
Kuna mambo ya ajabu sana humu...ila yote maisha... Hutupo hapa kumridhisha yoyote... This is our live, and we gonna live it the way we want...
Kule hamna njaa ila inathaminiwa pesa kuliko utu......! Mtoto anaamkiwa na wazee kisa ana pesa!Kwahiyo kule kuna njaa kali?