Nampenda sana Mahondaw

makubwa.... hv miss chagaa na wewe utanipa makavu hv... nilishaandaa kwa ajili yako ila naanza kuogopa.. kumbe wakali hv..!!!!
Sio makavu hii ishu imesukwaa
Mizimu yangu inaniambia kabisa this is planned

Mi bwana leo nipo tayari kwa lolote I don't care
Washaniharibiaa washamivuruga na kuvuruga kila kitu Smart911 hanielewiii nitajiua hakyamungu akili sio yangu hapa ishapaa
 
mahondaw my dear cool down... Don't take serious

Nadhani jamaa anatania tu kama ilivo matani ya Jf sikuzote. Don't panic pls

Na bila shaka hata smart wako ni mtu muelewa na very smart kama ilivo I'd yake...
 
Sio kumeza mtu kuna wanaume humu Wana mambo ya ajabu sana laiti ungejua ungenionea huruma tu. wanaume wazima haoo na pumb zao tikisa tikisa mpaka kwa Smart mwanaume unaanzaje kuongea kwa mwanaume mwenzako lakini!!?? Dahhhhhhhhhhh
Ulikuwa hujui wanaume ndivyo walivyo baadhi yao humu akihisi tu unatoka na mtu wanaanza chokochoko,,kaza mkanda funga na kamba smart muelewa bana hawezi maindi hivi vitu
 
Hebu tulia...... Mdogo shemej.....
Wewe hamna wa kukutoa kutoka kwa Smart911
 
Duuh, mahondaw hilo povu lote kama la wolper kumbe uhusiano wako ni real?
Mimi all the time nilikuwa naleta mzaha na kuchukulia poa.

Sikufikiria kuwa out of Jf kuna watu ambao wana plan zao na wanaedeleza mambo yao in reality.

Sasa hivi I can imagine.
Pole sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…