Nampenda sana Mahondaw

Nampenda sana Mahondaw

Nimekuwa namfatilia mrembo huyu kwa muda mrefu huwa ananikosha sana kwa komenti zake, ucheshi wake na hata masihara yake.
Mahondaw njoo hapa nikuhonge mgodi wangu wa hapa Kiwira ili nikuoe na nikupeleke Ibiza ukale maisha sio vumbi la hapa bongo
Mahondaw popote ulipo sikia kilio changu.
C91bVUKXoAAJaNa.jpg
Mrembo wa kawaida sana uyu....
 
Watu wanafiki sana humu hujui tu
Wanaume wanaenda kabisa kwachu kwachu na vimatako vyao kama ubao haooo mpaka kwa Smart kuongea ujinga ilimradi tu
Pumbavvu kabisa wanaume wa hivi
Yataisha tuu shemeji mdogo....

Relax.....katika mahusiano kuna ups and downs.
You need to understand. Na namna ya Ku go through them.
 
Khaaa ! Sawa matusi yote nayakubali.
Ila mimi sijawahi kuwa snitch kwa kumaanisha.
Mimi najua jf chit chat kwa sana ila hujawahi kunionya kuwa mwenzangu upo kwenye penzi zito.
Sina id zaid ya moja. Muda wenyewe wa huo mcheZo uko wapi?
Mjni nishazoea mizaha ya hapa chit chat.
Lakini huyu muanzisha mada kaipataje picha yako?? Ulimpa?
Mtakatifu leo umekamatika...

BTW mbona mi sioni picha yoyote?? Au screen yangu ina aleji na jinsia Ke??
 
Watu wanafiki sana humu hujui tu
Wanaume wanaenda kabisa kwachu kwachu na vimatako vyao kama ubao haooo mpaka kwa Smart kuongea ujinga ilimradi tu
Pumbavvu kabisa wanaume wa hivi
Mmmhhh???? Serious???
 
Kwa nn smart911 asije kutuliza hii hali ya hewa..!!? Huyu Dada kweli wamemkwaza. Mkuu smart911 njoo mkuu umtulize shemeji yetu. Hali ya hewa si nzuri huku..!!
 
Sio makavu hii ishu imesukwaa
Mizimu yangu inaniambia kabisa this is planned

Mi bwana leo nipo tayari kwa lolote I don't care
Washaniharibiaa washamivuruga na kuvuruga kila kitu Smart911 hanielewiii nitajiua hakyamungu akili sio yangu hapa ishapaa
pole sana... wana jukwa tulikuwa hatufahamu chochote utusamehe bure... kumbe kuna lililojificha... pole mahondaw atakuelewa naamini..!!!!
 
mahondaw my dear cool down... Don't take serious

Nadhani jamaa anatania tu kama ilivo matani ya Jf sikuzote. Don't panic pls

Na bila shaka hata smart wako ni mtu muelewa na very smart kama ilivo I'd yake...

Hujui tu Valentina yani watu wana vitimanyongo humu dahhhhhhhhhhh!
 
ila huyu mtoa mada nae kwann hasemi kitu kakaa kimya... anasababisha ajali huku..!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom