Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrembo wa kawaida sana uyu....Nimekuwa namfatilia mrembo huyu kwa muda mrefu huwa ananikosha sana kwa komenti zake, ucheshi wake na hata masihara yake.
Mahondaw njoo hapa nikuhonge mgodi wangu wa hapa Kiwira ili nikuoe na nikupeleke Ibiza ukale maisha sio vumbi la hapa bongo
Mahondaw popote ulipo sikia kilio changu.
![]()
Yataisha tuu shemeji mdogo....Watu wanafiki sana humu hujui tu
Wanaume wanaenda kabisa kwachu kwachu na vimatako vyao kama ubao haooo mpaka kwa Smart kuongea ujinga ilimradi tu
Pumbavvu kabisa wanaume wa hivi
Ule uzi wetu wameufuta wa wolpaKweli tena
Mtakatifu leo umekamatika...Khaaa ! Sawa matusi yote nayakubali.
Ila mimi sijawahi kuwa snitch kwa kumaanisha.
Mimi najua jf chit chat kwa sana ila hujawahi kunionya kuwa mwenzangu upo kwenye penzi zito.
Sina id zaid ya moja. Muda wenyewe wa huo mcheZo uko wapi?
Mjni nishazoea mizaha ya hapa chit chat.
Lakini huyu muanzisha mada kaipataje picha yako?? Ulimpa?
Sio povu tu na matapishi juuDuuh, mahondaw hilo povu lote kama la wolper kumbe uhusiano wako ni real?
Pole sana!
Mmmhhh???? Serious???Watu wanafiki sana humu hujui tu
Wanaume wanaenda kabisa kwachu kwachu na vimatako vyao kama ubao haooo mpaka kwa Smart kuongea ujinga ilimradi tu
Pumbavvu kabisa wanaume wa hivi
Kwani ndio yeye huyo kwa picha hapo?Aisee huyu mtoto mimi nitahonga mishahara yangu yote kwa mwaka mzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio povu tu na matapishi juu
Hio Pole yako hainisaidii kitu kampe mama yako
pole sana... wana jukwa tulikuwa hatufahamu chochote utusamehe bure... kumbe kuna lililojificha... pole mahondaw atakuelewa naamini..!!!!Sio makavu hii ishu imesukwaa
Mizimu yangu inaniambia kabisa this is planned
Mi bwana leo nipo tayari kwa lolote I don't care
Washaniharibiaa washamivuruga na kuvuruga kila kitu Smart911 hanielewiii nitajiua hakyamungu akili sio yangu hapa ishapaa
mahondaw my dear cool down... Don't take serious
Nadhani jamaa anatania tu kama ilivo matani ya Jf sikuzote. Don't panic pls
Na bila shaka hata smart wako ni mtu muelewa na very smart kama ilivo I'd yake...
Planned unamaanisha nini mahondaw?Sidaiwi na mtu humu zaidi ya Smart911 tu those idiots snitches can go to hell
Hii ni planned kabisa I sense
Anza mazoez..bro hii Ngoma si lele Mama. Ila naona intelligence imelega lega Mzee.huku suspect kabisaa hii mamboHahahahaa... akikukodi unistue nikusaidie kuwateka.
Acha matusi mama yangu muache apumzike(RIP).Sio povu tu na matapishi juu
Hio Pole yako hainisaidii kitu kampe mama yako