Nampenda sana Mahondaw

Nampenda sana Mahondaw

Ndo upate uchungu kama ninaofeel hapa. anyway R.I.P mama Ivuga so sorry

Hivi mnajua vile today furahi day tuvokua tumeplan na smart ? what do you expect after all these shits??
Siamini kama Smart wako atakwazika na huu upuuzi ulioanzishwa na huyu mleta mada.

Kama amekwazika nambie niongee naye, ntampunguzia mahari then mambo yatanyooka.
 
Nyie wanaume mnaopeleka vimatako vyenu kwa smart smart hana shida nanyinyi muache kujiuza uza mbele yake hamna cha kumpa akawaelewa jamani tembezeni bakora zenu kwingine. Idiots
 
Wee FORTALEZA umetumwa???

Kwanini unataka kuniharibia lakini???

Kwanini hivi lakini???
I joined jf 9th April 2013

All these years nilikuepo tu humu hakuna alieleta complain live live kwahiyo kipindi choote hiki lakini kwanini leo hivi mara vile??!
Kwanini maneno maneno na mambo ya kiswahili swahili yamekua mengi after having Smart911 in my hands?? ??? Dahhhhhhhhhhh
Anyway God knows

Smart911 I know nothing about this kwakweli kama unanihukumu nihukumu
Nadhani nia yao ya kunichafulia na kuniharibia tu imetimia .
mbona mkali hivyo jamani? Simba ni mkali lakini ana watoto, tulia tuyajenge mama.
 
Hawa mods hawa watakuwa wanalewa ma jeans na raba kutoka wolper shop..yaani uzi mwanana ule wanaufuta kwa nini?
Yaan hapa nishautafuta balaa,nimeudhika haswaa ,hapa nasubiria manhe aamke
 
Ndo upate uchungu kama ninaofeel hapa. anyway R.I.P mama Ivuga so sorry

Hivi mnajua vile today furahi day tuvokua tumeplan na smart ? what do you expect after all these shits??
Asante for Appreciation.
Ila sasa kwa ni smart anataka msichana mzuri kama wewe usipendwe na wanaume wengine?
Ndio anatakiwa afurahi kwanza kwa sababu wewe ni mzuri lazim watu wakutongoze lazima wakutamani.
Japo mm skitamani wala skutongozi mm nilikuwa naleta tu daily drama za JF sikujua kama nje ya JF mmependana.
Na najuta ningejua singeleta ile mizaha.
Huyo smart mueleweshe tu ataelewaz
Kama haelewi piga chini kuja huku
 
Back
Top Bottom