Nampenda sana Mahondaw

Nampenda sana Mahondaw

Sanaaaaa yani na washavuruga huku smart hanielewiiii

Unajua pale smart amepanga kunipeleka leo?? Ndobasi tena yani mpaka kuyaweka sawa sijui yani

sasa wewe si lazima upendwe jamani...hata ukiwa mke wa ndoa lazima utongozwe..i think he knows dat

Wewe jiandae leo ...na andaa sarakasi za ukweli leo..ubingiruke uwezavyo....
 
Now what all these shits for!??

Hujui Funga domo lako tafadhar

Nimeandika vile kukupa tahadhari, hizi confrontation ni lazima ujue jinsi ya kuzi-handle, otherwise jinsi unavyowajibu watu inaweza kusababisha usomeke vibaya kwa mtu ambaye uko naye kwenye uhusiano.

Naona kama kuna kitu unajua wanakijua, so unafanya defensive mechanism in case kikimfikia ionekane eti labda wanakuonea wivu.

Take it cool, haya majibu ya kunya hayatakusaidia kutatua tatizo bali yatakuongezea tatizo.
 
mbona mkali hivyo jamani? Simba ni mkali lakini ana watoto, tulia tuyajenge mama.
mkuu kuna kitu hapa hakieleweki... upo serious na uzi wako au ulikuwa kwenye masihara tu... mahondaw anadai unamharibia na kuna unalolijua... hebu weka wazi maana kuna wengine wanadai wewe ni Smart911 sababu ya hiyo picha... na hebu weka wazi huyo ndo mahondaw kweli au!!!!
 
Smart akikasirika anakua mnyama kabisa Wee mtu Mpole msikie tu Leo nimeyaona leo

Dah..basi jamaa atakuwa ni danger...manake ukitembea mtaani midume udenda isikutazame kabisa..itakula mbata
 
ila mkuu punguza jazba.. mi naamini mtoa mada hakuwa serious kiasi hicho alikuwa kwenye jokes... naomba mmalize tofauti zenu.. ni changamoto tu kwenye maisha.. sufuria tu zinagongana itakuwa binadamu.. ombaneni msamaha..!!!!
Siko siriaz umejuaje? mkuu kaa pembeni maana hayakuhusu. Niacheni na mtoto mzuri wangu mahondaw
 
Nimeandika vile kukupa tahadhari, hizi confrontation ni lazima ujue jinsi ya kuzi-handle, otherwise jinsi unavyowajibu watu inaweza kusababisha usomeke vibaya kwa mtu ambaye uko naye kwenye uhusiano.

Naona kama kuna kitu unajua wanakijua, so unafanya defensive mechanism in case kikimfikia ionekane eti labda wanakuonea wivu.

Take it cool, haya majibu ya kunya hayatakusaidia kutatua tatizo bali yatakuongezea tatizo.

I only care about Smart911 only plus wengine wanaojitambua tunaoheshimiana tu others as it said to hell
 
Back
Top Bottom