Nampenda sana Mahondaw

Nampenda sana Mahondaw

Kwani ile picha aliyobandika jamaa ni ya kwako?? Kama ni ya kwako napenda kukutaarifu kuwa mjukuu na babu kwa kawaida ni wapenzi... maana hamna namna tena
Teh tehhhhhhh faza naona unataka WW3

Utaipata soon
 
Mzuri wapi avatar tu hiyo miye kibibi kabisa naelekea kwenye menopause huko nimeiishaaaaa eti nafananishwa na mrembo mbichi kabisa huyo wapi na wapi??
FORTALEZA Amenikosea sana
Sasa huyo mrembo mbona umemzidi kabisa. Kwa uzuri.. au hujijui?
 
Back
Top Bottom