Nampenda sana Mahondaw

Nampenda sana Mahondaw

Kuna members wana akili za ajabu sana... Wanachotafuta ni sifa na attention. Kwa nini mnapenda kuharibu mahusiano ya watu... mahondaw yumo JF muda mrefu sana hakuna aliyemtamani... Leo hii yupo na Smart911 unakuja na thread yako ya kibwege na ya kitoto kama hii...

Smart911 na mahondaw kamwe hatutakuja kuachana... Na aliyekutuma mwambie huu ni mchezo wa kitoto sana... Who ever you are kama ni mwanamke au mwanaume utajijua na jinsia yako mwenyewe...

Kwa nini unataka kuharibu furaha yangu na mahondaw... Unajua mahondaw unajua alhamisi anatukio gani muhimu.. Alfu mpuzi kama wewe from no where unakuja kuleta ujinga...


Mimi sipendagi malumbano lakini kwa thread kama hii ya kichoko... Na kama mwanamke alikukataa kuna haja gani ya kuingia na ID tofauti na kumuharibia... Nilichukia sana... Na nusu nimuharibu mahondaw... Lakini nimesema kwa nini wakati nampenda sana...

Jinga moja ambalo linaleta thread ya kumuudhi mahondaw ili nalo lionekane linajua kubandika thread kumbe anabunguliwa tu... Leave mahondaw alone... She will never be wa mtu yoyote zaidi ya wa Smart911


Kama kweli unamjua mahondaw njoo alhamisi uone navyomvisha pete ya uchumba alafu ujitokeze na kusema huu utumbo uliyopost hapa...

Sidhani kama nina plan zozote za kumuacha mahondaw... mahondaw ni wa Smart911... Smart911 ni wa mahondaw...


@mahondow love.. Sorry kwa kusema surprise iliyopo alhamisi for you...
Huyu bwege sijui anatafuta bwana


mahondaw mpenzi wangu... Don't worry with anything kweli nimechukia sana... Lakini jua kwamba nakupenda sana... Hata zianzishwe thread 1000 the truth remains you are becoming my wife...

Huyu member atakuwa ametumwa... Ila ameshindwa...
Kizuri kula na ndugu zako jamaa acha mambo zako bana. Acha nasisi mechi za kirafiki tupige bana, kuna show za ndani na za nje wacha tusimamie
 
Mahonda mpenzi naona unatumia nguvu kubwa kitu ambacho ni utani wa kawaida wa Jf...

Achana nao bwana,take it easy,try to relax. Labda kama hiyo picha ingekua yakwako halisi,ningeona kweli mleta uzi kadhamiria.

Usiwe mwepesi wa kukasirika na kutake serious vitu kama hivi. Unaharibu mood yako bure,usivipe vitu vidogo nafasi ya kufuta tabasamu lako wakati unauwezo wa kuvipotezea

BTW matani ya hapa Jf nadhani unayajua. Na huenda kweli kuna watu wanataka kukuharibia penzi lako kwa smart usiwape nafasi ya kutimiza azma yao kwa kupambana nao kwa kurushiana maneno ya hasira wewe focus na Mr wako,kua tulizo la moyo wake achana na hizi kelele za nje....
Valentina... Watashindana lakini hawatashinda... Mambo madogo sana haya.. Ishajulikana dhamira ya mleta thread... But Smart911 and mahondaw are here to stay forever...
 
Huyu FORTA kama sio Ivuga ni Behaviourist kama sio Behaviourist ni yule mwingine yule kama si yule atakua Yulee mmoja hivi
Make ndo wananichokonoaga kweli humu ilimradi tu kuona tunagombana na smart
Khakhaakhaa ishakula kwenuu hata mje ukoo mzimaa kwa taarifa ndogo tu mission impossible

Mwaka wenuu huu mtahangaika sanaaaaa
Mahondaw na Smart911 the muzungu hatuachaniiii NG'O
Nishamjua ni nani... Na dhamira yake naijua... Lakini hawezi... Relax...
 
Hivi huu uzi unaendana vipi na theme ya JF ya great thinkers?

Au wanaochangia ndio ma moderator?
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Siku izi, kama kuonga unaonga kimiya kimiya kwa sababu kuna wadada wakali sana usiku wapo barabarani wanajiuza. Wengineo wapo Bongo Movie wanajiuza hatari sana [emoji145]
Kuna watu wana mambo ya kijinga sana... Wakiona mtu ana mtu basi nao ndiyo wanakifanya ujuaji...
 
Naachaje kupanic mate Smart911 ungemuona hapa jamanii hapa nimepiga magoti galagala sana omba msamaha kwa kiluga hata kama haelewi kiluga chetu wapiiiii

Mwelezea vya kueleza jamani Smart911 mylove I don't know the man ndokwanza nimemuona leo hapa kwenye huu uzi elezea sana tu kuwa Smart911 this is planned makusudikaly kabisa to ruin our relationship wapiiiii ananiangaliaaa kwa hasira kweli as if I know what is going mahondaw miye sina ninachokijua Smart911 wangu try to understand your mahondaw puliiiiiiiiiiiiiiizzzzzz
Usijali mahondaw wangu... Ni kweli nimechukia but i will never let the enemy win... Lets always keep our heads up... Walk like there is no death... Coz u r my qeen...
 
Mmmh maneno yote haya mimi mpitaji najisikia vibaya sijui huyu mwenye thread anajisikiaje.. Jf mfanye fanye kuwe na option ya kufuta uzi paleunapoona maji yamezidi unga
 
Back
Top Bottom