Nampenda sana Mahondaw

Nampenda sana Mahondaw

Mmmh maneno yote haya mimi mpitaji najisikia vibaya sijui huyu mwenye thread anajisikiaje.. Jf mfanye fanye kuwe na option ya kufuta uzi paleunapoona maji yamezidi unga
Thread za hivyo ni za kawaida humu ndani mbona!!!labda hiyo sintofahamu iliyotokea
 
Wee FORTALEZA umetumwa???

Kwanini unataka kuniharibia lakini???

Kwanini hivi lakini???
I joined jf 9th April 2013

All these years nilikuepo tu humu hakuna alieleta complain live live kwahiyo kipindi choote hiki lakini kwanini leo hivi mara vile??!
Kwanini maneno maneno na mambo ya kiswahili swahili yamekua mengi after having Smart911 in my hands?? ??? Dahhhhhhhhhhh
Anyway God knows

Smart911 I know nothing about this kwakweli kama unanihukumu nihukumu
Nadhani nia yao ya kunichafulia na kuniharibia tu imetimia .
Huyu atakuwa jinsia ya kike... Ndiyo wana wivu kama huu... Wenye chokochoko na umbea... They will never stop saying... Wache waseme... You are my baby... My only one... Asikimize kichwa kabisa... Ana beep tu huyu....
 
Kuna members wana akili za ajabu sana... Wanachotafuta ni sifa na attention. Kwa nini mnapenda kuharibu mahusiano ya watu... mahondaw yumo JF muda mrefu sana hakuna aliyemtamani... Leo hii yupo na Smart911 unakuja na thread yako ya kibwege na ya kitoto kama hii...

Smart911 na mahondaw kamwe hatutakuja kuachana... Na aliyekutuma mwambie huu ni mchezo wa kitoto sana... Who ever you are kama ni mwanamke au mwanaume utajijua na jinsia yako mwenyewe...

Kwa nini unataka kuharibu furaha yangu na mahondaw... Unajua mahondaw unajua alhamisi anatukio gani muhimu.. Alfu mpuzi kama wewe from no where unakuja kuleta ujinga...


Mimi sipendagi malumbano lakini kwa thread kama hii ya kichoko... Na kama mwanamke alikukataa kuna haja gani ya kuingia na ID tofauti na kumuharibia... Nilichukia sana... Na nusu nimuharibu mahondaw... Lakini nimesema kwa nini wakati nampenda sana...

Jinga moja ambalo linaleta thread ya kumuudhi mahondaw ili nalo lionekane linajua kubandika thread kumbe anabunguliwa tu... Leave mahondaw alone... She will never be wa mtu yoyote zaidi ya wa Smart911


Kama kweli unamjua mahondaw njoo alhamisi uone navyomvisha pete ya uchumba alafu ujitokeze na kusema huu utumbo uliyopost hapa...

Sidhani kama nina plan zozote za kumuacha mahondaw... mahondaw ni wa Smart911... Smart911 ni wa mahondaw...


@mahondow love.. Sorry kwa kusema surprise iliyopo alhamisi for you...
Huyu bwege sijui anatafuta bwana


mahondaw mpenzi wangu... Don't worry with anything kweli nimechukia sana... Lakini jua kwamba nakupenda sana... Hata zianzishwe thread 1000 the truth remains you are becoming my wife...

Huyu member atakuwa ametumwa... Ila ameshindwa...


..So sweet!, nawafagilia sana na mapenzi yenu open and mubashara. Msiruhusu kidudu mtu kiwaharibie.
 
Tuliza munkari mjukuu... jamaa anafanya chitchatting tu.

Ukiichukulia JF siriaz kihivyo, unaweza kupata kansa ya nywele.
Hakuna chit chating kwenye mali ya mtu... Wakae mbali na mali yangu... Yes mahondaw ni mali yangu...
 
Mmmh maneno yote haya mimi mpitaji najisikia vibaya sijui huyu mwenye thread anajisikiaje.. Jf mfanye fanye kuwe na option ya kufuta uzi paleunapoona maji yamezidi unga
Hapo ndio utapojua JF is a user Generated Content.

Na

Human Moderated system. Wao bado hawajaona Tatizo kwenye Thread. Pamoja matusi yote, duh...
 
Chitchating wakati ananiharibia???
Don't you know Smart911??!

Hivi unafikiri atanielewa kweli?!? how?!
Kitu ambayo nashangaa all these years mbona nilikuepo tu lakini why today??? dahhhhhhhh!!
Kuna wadada humu wengi tu wanaopenda kushobokea wanaume.. Si afanye nao chit chatting.. Siyo kwenye relationships za watu..
 
Sio makavu hii ishu imesukwaa
Mizimu yangu inaniambia kabisa this is planned

Mi bwana leo nipo tayari kwa lolote I don't care
Washaniharibiaa washamivuruga na kuvuruga kila kitu Smart911 hanielewiii nitajiua hakyamungu akili sio yangu hapa ishapaa
Indeed it is planned lakini plan zake zime fail... Kwa sababu hakuna jipya...
 
mahondaw my dear cool down... Don't take serious

Nadhani jamaa anatania tu kama ilivo matani ya Jf sikuzote. Don't panic pls

Na bila shaka hata smart wako ni mtu muelewa na very smart kama ilivo I'd yake...
I am a very understanding man... Gentleman but crazy sometime... Ndiyo maana hata i mind my on business humu JF.. Ila mtu anapojaribu to mind my business.. Hapo ndiyo mambo yanapoharibika... mahondaw she is my business... What ever she wants i give her... Wereva she wants to go i take her... What ever she wants to do we do together...
 
Love... Thursday surprise ipo pale pale... Atakaye jilengesha aone atakavyogombaniwa...
Aliefanya hivo sio vzur and mu mpuuze tu... Lkn Mkuu Mahusiano yenu yasiwe mahusiano ya Jf mnachafua mandhari humu. Mnafanya ez if wengi watoto humu... Huo ni ushamba...
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Miye wapi mimi ni kibibi kabisa kishamba cha hovyo hovyo sina mbele wala nyuma nipo nipo tu nimepaukaaaa mshamba nambari moja duniani
Usipate tabu ya kusema vile wanavyotaka kujua... Its true you are beautiful sweet young and sexy lady....
 
Back
Top Bottom