Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Wewe ni me kwani au ndio?[emoji4] Mim ntabaki na Joana wangu tuu[emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni me kwani au ndio?[emoji4] Mim ntabaki na Joana wangu tuu[emoji85]
[emoji3] mim co walee kina jike shupa....mim MEWewe ni me kwani au ndio?
ila jaman mfano mimi ndo ingekuwa mpenzi wangu anafanyiwa hv.. mbona ni rahisi kuelewa... as long as namwamini mtu wangu basi....!!!!!
kwahiyo unamaanisha hawa walipatana mitandaoni.. kwahiyo unapoona mtu wa mtandaoni anafukuzia unajua yale yale... au sio mkuu...!!!!Kama ulimpata demu kwa kumpa lift, siku ukiona amepewa lift unajua atagongwa.
Get my point.
kwahiyo unamaanisha hawa walipatana mitandaoni.. kwahiyo unapoona mtu wa mtandaoni anafukuzia unajua yale yale... au sio mkuu...!!!!
ha!!! ha!!!! ha!!!! ha!!!! ha!!!!Ha ha ha! We jamaa umeninukuu vibaya.
ha!!! ha!!!! ha!!!! ha!!!! ha!!!!
mbona unaniruka tena mkuu...!!!!
ha!!! ha!!! ha!!! ha!!!Mi nimesema lift we ukasema mitandao, sas hapo si umenikoti vibaya?
ha!!! ha!!! ha!!! ha!!!
mkuu umetumia tafsida ila any way ujumbe umefika!
acha wivu, alhamisi karibu ukae siti za mbele.Kama ulimpata demu kwa kumpa lift, siku ukiona amepewa lift unajua atagongwa.
Get my point.
acha wivu, alhamisi karibu ukae siti za mbele.
uone kiduku kimevishwa wigi la brazilian
[emoji1] [emoji1] tatizo naogopa kutolewa povu mbele za watu, ngoja nije kuianzishia pi emAnzisha at your own risk!
Ni "mzuri" wa kupendeza lakini "ukweli" (mimi wa namna hii huwa "siwapendi") ni mtazamo wangu'Nimekuwa namfatilia mrembo huyu kwa muda mrefu huwa ananikosha sana kwa komenti zake, ucheshi wake na hata masihara yake.
Mahondaw njoo hapa nikuhonge mgodi wangu wa hapa Kiwira ili nikuoe na nikupeleke Ibiza ukale maisha sio vumbi la hapa bongo
Mahondaw popote ulipo sikia kilio changu.
![]()
Uliyataka... Hayo sasaHivi kati yangu mimi na wewe nani kawa mkimya?? We hata nikikuwhatsapp unanichunia... au kwakuwa nilikutongoza??
jamani unajua nilipoteza simu nikaanza moja unaanzaje sasa kumtongoza mkw wako🙂
Mwasi kitoko, mwana murito, pretty girl, murembo, kipuri, supa, kipusa, spare,.Ni "mzuri" wa kupendeza lakini "ukweli" (mimi wa namna hii huwa "siwapendi") ni mtazamo wangu'
Huyu ndio Mahondaw[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ni "mzuri" wa kupendeza lakini "ukweli" (mimi wa namna hii huwa "siwapendi") ni mtazamo wangu'