Nampenda sana miss chaga


Kama Sura yako inafanana na ' Viraka ' vilivyopo barabara ya Vigwaza nakusihi tu Mkuu usipoteze muda wako Kwake.
 
Kama Sura yako inafanana na ' Viraka ' vilivyopo barabara ya Vigwaza nakusihi tu Mkuu usipoteze muda wako Kwake.
me nna sura nzuri balaa ndo maana najiamini sijakurupuka....na pia nampenda kwa jinsi anavyochangia mada
 
Wakati wa kupandana huwa anapenda kupanda juu lakini![emoji30]
 
ivi yule mume wa mtu uliye mpenda mmeishia wapi?
Nampenda mume wa mtu
 
Wewe ni member mpya alafu anampenda Miss chagga...


Kwa nini usiokoke na kumpenda yesu..
 
Hivi unaweza kuwa mgeni humu,afu ukawa 'Jf expert member'?
 
Miss chagga in mrembo kwakweli.
 
Mungu wangu [emoji134] Kijana kaamua kuvaa kitanzi mwenyewe Mungu mkubwa!hebu muokoe huyu mja wako sasa sijui miss chagga kaja??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…