Nampenda sana miss chaga

Nampenda sana miss chaga

Habari za leo natumai wote ni wazima.

Mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kuwa tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha

Kama Sura yako inafanana na ' Viraka ' vilivyopo barabara ya Vigwaza nakusihi tu Mkuu usipoteze muda wako Kwake.
 
Kama Sura yako inafanana na ' Viraka ' vilivyopo barabara ya Vigwaza nakusihi tu Mkuu usipoteze muda wako Kwake.
me nna sura nzuri balaa ndo maana najiamini sijakurupuka....na pia nampenda kwa jinsi anavyochangia mada
 
Habari za leo natumai wote ni wazima.

Mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kuwa tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha
ivi yule mume wa mtu uliye mpenda mmeishia wapi?
Nampenda mume wa mtu
 
Wewe ni member mpya alafu anampenda Miss chagga...

Kwa nini usiokoke na kumpenda yesu..
 
Hivi unaweza kuwa mgeni humu,afu ukawa 'Jf expert member'?
 
Mungu wangu [emoji134] Kijana kaamua kuvaa kitanzi mwenyewe Mungu mkubwa!hebu muokoe huyu mja wako sasa sijui miss chagga kaja??
 
Back
Top Bottom