Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 831
Kuna umuhimu sasa Wa JF kuwa na Intelligence Center. wale Spy wote Tuwatungue kabla hawajatuharibia JF yetu.Kuna watu wana tuchezea akili humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna umuhimu sasa Wa JF kuwa na Intelligence Center. wale Spy wote Tuwatungue kabla hawajatuharibia JF yetu.Kuna watu wana tuchezea akili humu
Umewahi kuiona sura yake? Au unampenda anavyochangia hoja mbalimbali!!hahah siku imekaribia lazima niweke waz hili jambo kwa kweli nampenda mno
anavyo changia hoja mbalimbalUmewahi kuiona sura yake? Au unampenda anavyochangia hoja mbalimbali!!
me napenda anavyo changia Mada humu jamii forumMkuu ni Bora hata Umetoa la Moyoni, LA MOYONI HUITESA NAFSI.
Ila hujasema Ni upendo Upi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]anavyo changia hoja mbalimbal
Habari za leo natumai wote ni wazima.
Mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kuwa tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha
me nna sura nzuri balaa ndo maana najiamini sijakurupuka....na pia nampenda kwa jinsi anavyochangia madaKama Sura yako inafanana na ' Viraka ' vilivyopo barabara ya Vigwaza nakusihi tu Mkuu usipoteze muda wako Kwake.
nilikuwa kule kwa makonda nikisubiria ataje si unajua njaa tena na kuchokaUbajilengesha= unajilengesha
Msikurupuke kupoost jaman
[emoji30] [emoji30] [emoji30]Wakati wa kupandana huwa anapenda kupanda juu lakini![emoji30]
ivi yule mume wa mtu uliye mpenda mmeishia wapi?Habari za leo natumai wote ni wazima.
Mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kuwa tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha
mkuu miss chagga ni member mwenzangu kama namkubali sion tabu kusema hisia zanguivi yule mume wa mtu uliye mpenda mmeishia wapi?
Nampenda mume wa mtu
Ya pesaHela gani unayo zungumzia
We ni me au ke?mkuu miss chagga ni member mwenzangu kama namkubali sion tabu kusema hisia zangu
Miss chagga mshana jr anataka kumpa mtu limbwata huku[emoji12] [emoji1] [emoji1]Una hela nikuunganishie?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Miss chagga in mrembo kwakweli.