Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Miss chagga mshana jr anataka kumpa mtu limbwata huku[emoji12] [emoji1] [emoji1]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Miss chagga mshana jr anataka kumpa mtu limbwata huku[emoji12] [emoji1] [emoji1]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tupia picha tuhakikisheme nna sura nzuri balaa ndo maana najiamini sijakurupuka....na pia nampenda kwa jinsi anavyochangia mada
Kumbe tunachezewa akili humuAlafu acheni kutuona mazuga humu ndani.... Jana tu umekuja na thread yako ukidai unampenda mume wa mtu, leo yamekuwa ya Miss Chagga aka Kungwi.....
Kama wewe ni me, kuwa Me kweli. Acheni kujidai jinsia ya tofauti kwa malengo yenu. Mtajiumbua tu maana mtasahau uhusika mliojiwekea.
Nampenda mume wa mtu
Pengine shemaleKumbe tunachezewa akili humu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kumbe tunachezewa akili humu
Pengine shemale
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1200288/Habari za leo natumai wote ni wazima.
Mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kuwa tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha
Bhado ugeni una kusumbua.Habari za leo natumai wote ni wazima.
Mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kuwa tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha
simfahamuUnamfahamu
ww jinsia gani?mkuu miss chagga ni member mwenzangu kama namkubali sion tabu kusema hisia zangu
mimi ni KE mkuu kwani kumpenda mtu ni dhambi? inamaana mtu wa jinsia yangu akiwa na mambo mazur nisimsifie wala kumpendaww jinsia gani?
if ke, tomboy!
if me, kuna kitu hakipo sawa.
mara utaman waume za watu.
mara utamani wanawake.
popo si ndege ni mnyama na kinyume chake ni sahihi
(nawaza tu)
anaweza kuwa na mshiko mkubwa.....Kama Sura yako inafanana na ' Viraka ' vilivyopo barabara ya Vigwaza nakusihi tu Mkuu usipoteze muda wako Kwake.
me ni kePengine shemale
kwa nini umesema hivyo mkuuHivi unaweza kuwa mgeni humu,afu ukawa 'Jf expert member'?
ona hio comment. yaan ww unamtongoza. sasa ww uanauke wako c wa mashaka? nyambafuuuundo hivyo nampenda
[emoji1] [emoji1] me sijamtongozaona hio comment. yaan ww unamtongoza. sasa ww uanauke wako c wa mashaka? nyambafuuuu
in short, don't spoil our beloved fruits(i.e women). go for helots and all that!![emoji1] [emoji1] me sijamtongoza
mimi ni KE mkuu sina muda wa kudanganyain short, don't spoil our beloved fruits(i.e women). go for helots and all that!!
very disgusting!