Nampenda sana miss chaga

Nampenda sana miss chaga

Alafu acheni kutuona mazuga humu ndani.... Jana tu umekuja na thread yako ukidai unampenda mume wa mtu, leo yamekuwa ya Miss Chagga aka Kungwi.....

Kama wewe ni me, kuwa Me kweli. Acheni kujidai jinsia ya tofauti kwa malengo yenu. Mtajiumbua tu maana mtasahau uhusika mliojiwekea.

Nampenda mume wa mtu
Kumbe tunachezewa akili humu
 
Kumbe tunachezewa akili humu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
NOUMAER.PNG

Pengine shemale
 
Habari za leo natumai wote ni wazima.

Mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kuwa tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha
Bhado ugeni una kusumbua.
 
mkuu miss chagga ni member mwenzangu kama namkubali sion tabu kusema hisia zangu
ww jinsia gani?
if ke, tomboy!
if me, kuna kitu hakipo sawa.

mara utaman waume za watu.
mara utamani wanawake.

popo si ndege ni mnyama na kinyume chake ni sahihi
(nawaza tu)
 
ww jinsia gani?
if ke, tomboy!
if me, kuna kitu hakipo sawa.

mara utaman waume za watu.
mara utamani wanawake.

popo si ndege ni mnyama na kinyume chake ni sahihi
(nawaza tu)
mimi ni KE mkuu kwani kumpenda mtu ni dhambi? inamaana mtu wa jinsia yangu akiwa na mambo mazur nisimsifie wala kumpenda
 
Back
Top Bottom