Dominic Myumbilwa
Senior Member
- Jan 5, 2017
- 190
- 93
nomaPembeni mwako hamna watu? Hawajakushangaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nomaPembeni mwako hamna watu? Hawajakushangaa
Kaka umevagaa demu la admin sababu ya papara zako... soma kwanza mazingira kabla hujakurupuka..Habari za leo natumai wote ni wazima.
Mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kuwa tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha