Nampenda sana mpenzi wangu


Huyo mpenzi wako anakupenda sana pia na ndio maana ana wivu kwako ila ninahisi kuna vitu unavyofanya kisirisiri na vinamfanya awe na wivu/kukosa uaminifu kwako kabisa na hii ni mbaya sana katika mahusiano.

Jaribu kuwa muwazi kwake pia jaribu kuongea nae na kumuuliza ana wasiwasi na vitu gani kwako, jiweke huru kwake ili awe na amani. Kama kuna vitu ambavyo si sawa virekebishe kabisa.
 
Dogo,
Angalia humo kwenye bluu~
Huku si kupenda sasa ni matatizo!
Nyie ndio mnapata heart attack mkitemwa baadae!
Mapenzi ni hatua, nenda taratibu...Ukiyaendea pupa mapenzi yanaua!
Umemshauri vizuri,sasa kazi kwake kuichukua ama kuiacha_ila namshauri aichukue itamsaidia sana,..otherwise tutegemee maumivu na kilio cha kusaga meno siku si nyingi.
 
Dogo,
Angalia humo kwenye bluu~
Huku si kupenda sasa ni matatizo!
Nyie ndio mnapata heart attack mkitemwa baadae!
Mapenzi ni hatua, nenda taratibu...Ukiyaendea pupa mapenzi yanaua!
Unajua PJ mapenzi yanapokuja huwa hayana taarifa kusema uende taratibu
yanapookukumba ndi moja kwa moja ngwala chini una fall
 
ndo tuko kwenye process lakini tunachunguzana tabia kwanza
Moja hiyo ushaigundua....... WIVU................ Nakushauri............usijechunguza sana halafu ukapata vitabia ambavyo huwezi kuvifanyia maamuzi ...........
 
yaani mtu unajiachia kwa mtu weee hayo mapenzi ya kidot com siku ukimwagwa ndo utajuta sio kwamba ana wivu anatafuta sababu za kukuacha huyo.ukiona upo kwenye mahusiano na mtu analetaleta viugomvi na mawivu yasiyo na msingi jua amekuchoka sema kona ya kukupatia akupige chini anakosa.so kuwa makini acha kujiachia hii ni dunia wewe loh
 

ndugu yangu nashukuru sana,umenitoa hofu!na najitahidi kuwa muwazi kwake katika kila jambo ili aelewe tu kuwa nampenda na sitaki kumkosa maishani mwangu
 
Umemshauri vizuri,sasa kazi kwake kuichukua ama kuiacha_ila namshauri aichukue itamsaidia sana,..otherwise tutegemee maumivu na kilio cha kusaga meno siku si nyingi.

igweeeeeee
 

dah smile umenifanya ninune ghafla,me najua ananipenda lakini ngoja tuendlee ukweli hujidhihirisha wenyewe
 
Huo usemi huwa unanipa wasiwasi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…