kama kwel anakupenda jarb kumwomba tg akikubali ndo utajua kwel anakupenda!
bila shaka wewe utakuwa ni baasha wa PM - UK...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kwel anakupenda jarb kumwomba tg akikubali ndo utajua kwel anakupenda!
umesema unampenda kuliko chochote, mbona tembo card htk kumpa? Mpe kadi zako zt za bank hapo atakuamini.
bila shaka wewe utakuwa ni baasha wa PM - UK...
Habari zenu wote.Nimewamiss kweli,ila nilikuwa busy na shughuli za kitaifa! Nimepata mpenzi,ni kila kitu kwangu,nampenda kuliko chochote maishani mwangu,tatizo moja tu ana wivu sana na anakosa uaminifu kwangu wakati mimi nimezama kwake hoi bin taabani kama mtoto mchanga na ziwa la mama,hata pembeni siangalii.Nifanyeje ili aniamini na apunguze wasiwasi kwangu?
Umemshauri vizuri,sasa kazi kwake kuichukua ama kuiacha_ila namshauri aichukue itamsaidia sana,..otherwise tutegemee maumivu na kilio cha kusaga meno siku si nyingi.Dogo,
Angalia humo kwenye bluu~
Huku si kupenda sasa ni matatizo!
Nyie ndio mnapata heart attack mkitemwa baadae!
Mapenzi ni hatua, nenda taratibu...Ukiyaendea pupa mapenzi yanaua!
mnachunguzana tabia kivipi wakati mshapendana kiasi hicho?ndo tuko kwenye process lakini tunachunguzana tabia kwanza
Unajua PJ mapenzi yanapokuja huwa hayana taarifa kusema uende taratibuDogo,
Angalia humo kwenye bluu~
Huku si kupenda sasa ni matatizo!
Nyie ndio mnapata heart attack mkitemwa baadae!
Mapenzi ni hatua, nenda taratibu...Ukiyaendea pupa mapenzi yanaua!
Moja hiyo ushaigundua....... WIVU................ Nakushauri............usijechunguza sana halafu ukapata vitabia ambavyo huwezi kuvifanyia maamuzi ...........ndo tuko kwenye process lakini tunachunguzana tabia kwanza
naunga mkono hojaAna haki ya kuwa na wivu coz anakupenda nawe jitahid kuwa muwazi
Muoe sasa ndio wivu utaisha
yaani mtu unajiachia kwa mtu weee hayo mapenzi ya kidot com siku ukimwagwa ndo utajuta sio kwamba ana wivu anatafuta sababu za kukuacha huyo.ukiona upo kwenye mahusiano na mtu analetaleta viugomvi na mawivu yasiyo na msingi jua amekuchoka sema kona ya kukupatia akupige chini anakosa.so kuwa makini acha kujiachia hii ni dunia wewe lohHabari zenu wote.Nimewamiss kweli,ila nilikuwa busy na shughuli za kitaifa! Nimepata mpenzi,ni kila kitu kwangu,nampenda kuliko chochote maishani mwangu,tatizo moja tu ana wivu sana na anakosa uaminifu kwangu wakati mimi nimezama kwake hoi bin taabani kama mtoto mchanga na ziwa la mama,hata pembeni siangalii.Nifanyeje ili aniamini na apunguze wasiwasi kwangu?
Huyo mpenzi wako anakupenda sana pia na ndio maana ana wivu kwako ila ninahisi kuna vitu unavyofanya kisirisiri na vinamfanya awe na wivu/kukosa uaminifu kwako kabisa na hii ni mbaya sana katika mahusiano.
Jaribu kuwa muwazi kwake pia jaribu kuongea nae na kumuuliza ana wasiwasi na vitu gani kwako, jiweke huru kwake ili awe na amani. Kama kuna vitu ambavyo si sawa virekebishe kabisa.
Umemshauri vizuri,sasa kazi kwake kuichukua ama kuiacha_ila namshauri aichukue itamsaidia sana,..otherwise tutegemee maumivu na kilio cha kusaga meno siku si nyingi.
Au aolewe yeye? maana jinsi yake hatuijui
yaani mtu unajiachia kwa mtu weee hayo mapenzi ya kidot com siku ukimwagwa ndo utajuta sio kwamba ana wivu anatafuta sababu za kukuacha huyo.ukiona upo kwenye mahusiano na mtu analetaleta viugomvi na mawivu yasiyo na msingi jua amekuchoka sema kona ya kukupatia akupige chini anakosa.so kuwa makini acha kujiachia hii ni dunia wewe loh
Kula zako zabibu bana!
Huo usemi huwa unanipa wasiwasi sanaHabari zenu wote.Nimewamiss kweli,ila nilikuwa busy na shughuli za kitaifa! Nimepata mpenzi,ni kila kitu kwangu,nampenda kuliko chochote maishani mwangu,tatizo moja tu ana wivu sana na anakosa uaminifu kwangu wakati mimi nimezama kwake hoi bin taabani kama mtoto mchanga na ziwa la mama,hata pembeni siangalii.Nifanyeje ili aniamini na apunguze wasiwasi kwangu?
Huo usemi huwa unanipa wasiwasi sana
hebu tulia wewe