scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
1st runner up alikuwa Doto Nusurupia (If I am not mistaken).
Unakumbuka enzi za Miss Aspen
Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania πΉπΏ nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia.View attachment 2963632View attachment 2963633
Si upendo wa kiuchafuchafu ngonoana hapana. Nampenda alivyo tuuu hata sijui alikosaga vipi kuwa miss namba moja miaka
Aliwahi kudate na Masudi KipanyaMasudi Kipanya
Emily Adolf mbn alikua mrembo..ila sio kivile..mrembo kwangu Mercy Galabawa,Sylvia Bahame, Marian IkoaYeah wakati huo yanadhaminiwa na Aspen (sigara toka TCC)...
Miaka hii ya mwanzo wanyange toka mikoani walikuwa wanakimbiza...
Ila yule Miss toka Dodoma, Emily Adolph sijawahi mkubali hadi leo, hakuwa mlimbwende kabisa kwa mtazamo wangu...
Hahahahaha..halafu Tall fulani hiviMbiki alikuwa chibonge bonge kanona nona π
Sahihi ungesema "A Woman of Substance"A woman of principles
View attachment 2963631
Unafaa kua mwalimu wangu wa english courseSahihi ungesema "A Woman of Substance"
As you wish. Sema neno tu na roho yako itaponaUnafaa kua mwalimu wangu wa english course
As you wish. Sema neno tu na roho yako itapona
Principles is bit more spicific coz it fall under declarative type of sentence which it does tell facts. But what you needed to write is a vague word. So on my point of view I see Substance fit betterKwenye hiyo sentensi kwanini substance ndo inafaa na sio principles?
Lecturer nimepata..!Principles is bit more spicific coz it fall under declarative type of sentence which it does tell facts. But what you needed to write is a vague word. So on my point of view I see Substance fit better
Mbiki 2003 vs Hoyce 99 ilikuaje mchuano hapo?Mpambano mkali wa ma miss ilikua Miss Ilala..Mbiki Msumi na Hoyce Temu....kisha ukahamia tena Miss Tanzania..Mbiki tena na Hoyce Temu
As you wish ma'amLecturer nimepata..!
Sorry nimechanganyaMbiki 2003 vs Hoyce 99 ilikuaje mchuano hapo?
Na zali la mentali hakuimba yeye ujue alitokeaga tu kwa video....ila tuseme tu huyu dada ni mrembo, ni mzuriiiiZali la mentali
Sylvia mrembo mwenye mwanya wake.Emily Adolf mbn alikua mrembo..ila sio kivile..mrembo kwangu Mercy Galabawa,Sylvia Bahame, Marian Ikoa
Ila miss Tz ya enzi zile ilikuwa π₯π₯π₯. Siku hizi unashangaa tu miss Tz imeshafanyika; hatuna habariEmily Adolf mbn alikua mrembo..ila sio kivile..mrembo kwangu Mercy Galabawa,Sylvia Bahame, Marian Ikoa