Nampenda sana Rais wangu Mama Samia ila baadhi ya aliowaamini siwapendi!

Una-mpendaje na yeye kashindwa kuwa- simamia alio wateu,wewe kilaza kweli kweli.
Sawa unaangalia mapungufu madogo ila kwa kapana umeyapa kisogo hapo kılana nani?
 
Hao wasaidizi wake si kawachagua yeye mwenyewe au kachaguliwa?!
Ana mamlaka ya kuwatoa, ila haijampendeza kufanya hivyo...kwamba, kwa akili yake anawaona wako vizuri!.
Nakushauri mleta mada, kama huli kitimoto basi hata mchuzi wake usiunywe!!.
 
Unampendaje mtu anateua vilaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…