Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Kwa hiyo unaogopa??
Halafu broo mbona umepanick sana?? Nini shida mzee??Naona umerudi sasa kwa ID yako ili ujijibu,,
Acha Utoto,unajiaibisha.Halafu broo mbona umepanick sana?? Nini shida mzee??
Unadhaniaje hivi?? Nanasaje kwenye tego la kipumbavu hili?? Hawa watu wasiojulikana mnawachukulia poa?? Nimemtumia PM mpaka sasa hajajibu.Mbona mhusika hajii ..hajui ameshadondokewa huku
Ndio unavyohisi sio??Acha Utoto,unajiaibisha.
Vuta subira mkuu atakujibu tu..Unadhaniaje hivi?? Nanasaje kwenye tego la kipumbavu hili?? Hawa watu wasiojulikana mnawachukulia poa?? Nimemtumia PM mpaka sasa hajajibu.
Hahahahahahaha Hata simuogopi mtu..nitakuja tu na hii hiii....ngoja niendelee kukusanya data nitarudi kufungua uziKwanini usije na Id hii wamuogopa nani??
Sasa si tutamchafulia uzi mkuu? Halafu atakuja na id nyingine tena kutumindBasi tuendelee tu kwa maan mwenye uzi kalog out ,kaifuata id yake ya zaman sas anaona aibu kurud apa tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bora sisi wenzie wanawake
Hahaa ..jf bwanaNimekoma Ku like comments za Wakaka humu ndanii kumbe tunaumiza watu bila kujua jmaan..!![emoji17]
Watu wanajitekenya na kucheka wenyewePale mtu anapofungua ID mpya na kujipigia pande..
Umesomeka mzee baba...
Hahaha hahaha hahaha hahaha