Yemmie unajua usipokua unampa chakula mwanao mwisho anaenda kula kwa jilani.. Unaniacha na njaa bila chakula nifanyaje??Johnanwa hiyo kama quote yangu imekuwa hadimu ndiyo utake kufungukiwa piemu?
Unaniumizaa???
Ndio unavyohisi sio??
Unadhaniaje hivi?? Nanasaje kwenye tego la kipumbavu hili?? Hawa watu wasiojulikana mnawachukulia poa?? Nimemtumia PM mpaka sasa hajajibu.
Kwa mara ya kwanza mwanaume anadondokewa afu anachomoa live humu jukwaani... Hii imekaaje chief? [emoji23][emoji23][emoji23]Na wala anayoyasema sinayo. Noma sana, anafanya mambo yangu hayaendi sawa sasa.
Basi ule huko huko ushibe urudi nyumbani kulala tuu. JohnnyYemmie unajua usipokua unampa chakula mwanao mwisho anaenda kula kwa jilani.. Unaniacha na njaa bila chakula nifanyaje??
Nskula tu kwakua nina njaa ila chakula ninachopenda ni chakwako.. nakula kwa jilani ila nakua nawaza mapochopocho yako. Nakuahidi ukiwepo nyumbani saa zote sitadoea chskula cha jiraniBasi ule huko huko ushibe urudi nyumbani kulala tuu. Johnny
Loke kommenti zangu tu babe. I love youNimekoma Ku like comments za Wakaka humu ndanii kumbe tunaumiza watu bila kujua jmaan..!!😔
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bora sisi wenzie wanawake
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Sawa bwana
Ila JF tamu Sana yani unaweza kuwachezea watu wazima kabisa
Una tumaneno wewe.Nskula tu kwakua nina njaa ila chakula ninachopenda ni chakwako.. nakula kwa jilani ila nakua nawaza mapochopocho yako. Nakuahidi ukiwepo nyumbani saa zote sitadoea chskula cha jirani
Upendo YemiieUna tumaneno wewe.
Angalia usinitekee[emoji23][emoji23]
Ana wengi wanaompenda sasa yeye anachagua. Halafu si unajua mtoa mada kasema mzee baba anaringa?Kwa mara ya kwanza mwanaume anadondokewa afu anachomoa live humu jukwaani... Hii imekaaje chief? [emoji23][emoji23][emoji23]
Team cheusi mangala!!Upendo Yemiie
Hahahahhaha chizi wwe... Kweli nina njaa kali namna hiyo? .... Mmi nimezoea tu lazma mdondokewaji angebuy time kidogo bwana... Ila hii tit for tat sikutak[emoji1]Ana wengi wanaompenda sasa yeye anachagua. Halafu si unajua mtoa mada kasema mzee baba anaringa?
Mkuu ingekuwa ni wewe kama nakuona vile ungatangaza ndoa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Upendo unapokelewa kwa upendo kisha tuzae mapenzi.. sio upendo wa upande mmojaTeam cheusi mangala!!
Haya bhana asante kwa upendo Johnny[emoji8]
Hebu niambie Yemmie unampendea nini kwanza?Upendo unapokelewa kwa upendo kisha tuzae mapenzi.. sio upendo wa upande mmoja
Hataki SHOBOHahahahhaha chizi wwe... Kweli nina njaa kali namna hiyo? .... Mmi nimezoea tu lazma mdondokewaji angebuy time kidogo bwana... Ila hii tit for tat sikutak[emoji1]
Umeamua na wewe kuunga hapa hapa siyo.Upendo unapokelewa kwa upendo kisha tuzae mapenzi.. sio upendo wa upande mmoja
Mchana wote huu? Labda hatupo JF.
Kwahiyo boss jf kila mtu anashoboka siyo?Mchana wote huu? Labda hatupo JF.
Mm Yemmie wangu nampendea tumacho twake tweupe tukubwa kiasi twa kisichana, Sura yake ya upole na angavu isiyochosha kutazama, kiuno chake cha wastani kilivyojikata kama kinu cha kutwangia viungo, mtoto figa figa kweli anayejua kudeka na kulingia figa lake, vilips vyake laini kama damu zilizoganda wanazokula wachaga zinazovutia kutazama na kuzila muda wote.. mtoto yemmie anarangi adhimu ya kibantu ya chocolate na gonzi yake laini kama anagea mafuta ya Sunola... kubwaa zaidi nimpendeacho she have beautiful and Bright mind inayomvutia kila mwanamume mwenye kujitambua[/QUOTE][/QUOTE]Hebu niambie Yemmie unampendea nini kwanzup