Nampenda sana Relief Mirzska

Nampenda sana Relief Mirzska

[QUOTE"dark angel, post: 29798956, member: 321984"]Hivi ni katoto? Maana ulivyoandika unakapenda[emoji13].
Usijekuta ni dada yako au shangazi kabisa.
cute b[/QUOTE]
Who knows n care???
Nachofahamh mimi hakuna radhi ya mapenzi!!!
Na siku zote mwanaume ni mwanaume tu.. Haijalishi ana umri gani mbele ya mwanamke atabaki kua baba wa nyumba na kichwa cha familia..
Hata kama ana miaka 40 mm 20 hiyo ni miaka yake na upendo wangu kwake ni wangu! Siwez acha nikipendecho kisa kimeishi miaka mingi kuliko mimi.
 
[QUOTE"dark angel, post: 29798956, member: 321984"]Hivi ni katoto? Maana ulivyoandika unakapenda[emoji13].
Usijekuta ni dada yako au shangazi kabisa.
cute b
Who knows n care???
Nachofahamh mimi hakuna radhi ya mapenzi!!!
Na siku zote mwanaume ni mwanaume tu.. Haijalishi ana umri gani mbele ya mwanamke atabaki kua baba wa nyumba na kichwa cha familia..
Hata kama ana miaka 40 mm 20 hiyo ni miaka yake na upendo wangu kwake ni wangu! Siwez acha nikipendecho kisa kimeishi miaka mingi kuliko mimi.[/QUOTE]Mahaba niue. Sawa rafiki yangu wa zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaaa dark angel unazingua wewe.. si ulitukimbia kwenye uzi wa mapopo.. ujakimbia na Iceman3D mimi ndio ikawa baibai naona jamaa alinizidi kete kwa zile exile tulizokua tunapigiana
 
Si ndo kujitekenya na kucheka mwenyewe......yaaani jamaa ameamua kujifanya demu kwa ID mpya
ili ajitongoze kwenye ile ya zamani ili kuongeza thamani,
huu nao ni ubunifu wa kusaka papuchi.
 
Back
Top Bottom