Da'VinciKwa jua na mvua, baridi na joto, mbingu na ardhi nakapenda kweli toka moyoni haka katoto. Ndio maana siachi kujipendekeza kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Da'VinciKwa jua na mvua, baridi na joto, mbingu na ardhi nakapenda kweli toka moyoni haka katoto. Ndio maana siachi kujipendekeza kwake
Naomba nisitie neno [emoji40][emoji40][emoji40]Hivi ni katoto? Maana ulivyoandika unakapenda[emoji13].
Usijekuta ni dada yako au shangazi kabisa.
cute b
Sent using Jamii Forums mobile app
Niambie Cute b
Sikukimbia na @iceman3d yeye nilimuacha mimi nikaondoka na mwingine.Hahaaaaaa dark angel unazingua wewe.. si ulitukimbia kwenye uzi wa mapopo.. ujakimbia na Iceman3D mimi ndio ikawa baibai naona jamaa alinizidi kete kwa zile exile tulizokua tunapigiana
Hahaaaa aliyekuteka nani?? Nikijua bwana kakaalingoa mzigo maana sio kwa kunipokonyakuleSikukimbia na @iceman3d yeye nilimuacha mimi nikaondoka na mwingine.
Tulikupiga exile za kibabe hahaha kila dakika unakuja kuchungulia tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Manga ML mkuu.Hahaaaa aliyekuteka nani?? Nikijua bwana kakaalingoa mzigo maana sio kwa kunipokonyakule
Usiyachanganyee banaaKwamba nisiyajumishe Ma I'd yako yote?? Tuhurumiane tusave time bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] basi nitaufuta.. Hivi karibuni nikishapiga misele huko PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliniacha lakiniOoh brother Manga ML unaroho ngumu kweli siku zote hata kunitonya mdogeo kama ndio unamilik hiiki chombo! BTW Yote mema bado upo kwa ndugu zangu
Nitumie draft then niipike kimalkia chap.... Afu mzee mama huonekani duniani kabisa[emoji89]Wewe unadhani huu uzi ungekuwa wa kingereza watu wangekuwa wanapiga domo hapa? Tena nitakuomba uuandike mimi niuposti. Nitakupa tuu maneno mzee baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]kwamba unabadilisha id alafu unasema unajipenda, [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nitumie draft then niipike kimalkia chap.... Afu mzee mama huonekani duniani kabisa[emoji89]
[emoji28][emoji28][emoji28]
Tunaiaga 2018 mujarabu kabisa[emoji23]mlengwa naye hajatokeA[emoji18].atakuwa offline labda