Nampenda sana Relief Mirzska

Nampenda sana Relief Mirzska

Ana wengi wanaompenda sasa yeye anachagua. Halafu si unajua mtoa mada kasema mzee baba anaringa?
Mkuu ingekuwa ni wewe kama nakuona vile ungatangaza ndoa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhaha chizi wwe... Kweli nina njaa kali namna hiyo? .... Mmi nimezoea tu lazma mdondokewaji angebuy time kidogo bwana... Ila hii tit for tat sikutak[emoji1]
 
Hebu niambie Yemmie unampendea nini kwanzup
Mm Yemmie wangu nampendea tumacho twake tweupe tukubwa kiasi twa kisichana, Sura yake ya upole na angavu isiyochosha kutazama, kiuno chake cha wastani kilivyojikata kama kinu cha kutwangia viungo, mtoto figa figa kweli anayejua kudeka na kulingia figa lake, vilips vyake laini kama damu zilizoganda wanazokula wachaga zinazovutia kutazama na kuzila muda wote.. mtoto yemmie anarangi adhimu ya kibantu ya chocolate na gonzi yake laini kama anagea mafuta ya Sunola... kubwaa zaidi nimpendeacho she have beautiful and Bright mind inayomvutia kila mwanamume mwenye kujitambua[/QUOTE][/QUOTE]
 
Back
Top Bottom