Huwezi kukufwa...Namimi nasema tuchezeane tuu.. Mtu mwenye akili timamu ukiws serious Sana humu utakufwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitachapwa mimi jamanii.. na huyu mrembo hapo juu
Hahahahhahaha toka zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe nakufungulia ila kwa kingereza.
Kiswahili inakuwa na kelele mingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jua na mvua, baridi na joto, mbingu na ardhi nakapenda kweli toka moyoni haka katoto. Ndio maana siachi kujipendekeza kwake
Wewe unadhani huu uzi ungekuwa wa kingereza watu wangekuwa wanapiga domo hapa? Tena nitakuomba uuandike mimi niuposti. Nitakupa tuu maneno mzee baba.Hahahahhahaha toka zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi ni katoto? Maana ulivyoandika unakapenda[emoji13].Kwa jua na mvua, baridi na joto, mbingu na ardhi nakapenda kweli toka moyoni haka katoto. Ndio maana siachi kujipendekeza kwake
HahahhahaNamimi nasema tuchezeane tuu.. Mtu mwenye akili timamu ukiws serious Sana humu utakufwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ana msemo wake sisi wote ni wa mojaHuwezi kukufwa...
Halafu naomba ujibu kwa ID moja moja, nina hamu ya kuchat sa ukichanganya zote inakuwaje eti
Ndo nataka ajibu mmoja mmojaSi ana msemo wake sisi wote ni wa moja
Kwamba nisiyajumishe Ma I'd yako yote?? Tuhurumiane tusave time bhanaHuwezi kukufwa...
Halafu naomba ujibu kwa ID moja moja, nina hamu ya kuchat sa ukichanganya zote inakuwaje eti
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] basi nitaufuta.. Hivi karibuni nikishapiga misele huko PMSi ana msemo wake sisi wote ni wa moja
Who knows n care???[QUOTE"dark angel, post: 29798956, member: 321984"]Hivi ni katoto? Maana ulivyoandika unakapenda[emoji13].
Usijekuta ni dada yako au shangazi kabisa.
cute b
Ndo nataka ajibu mmoja mmoja
Kwamba nisiyajumishe Ma I'd yako yote?? Tuhurumiane tusave time bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahhaha nacheka sana ila word wewe Mungu anakuona[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] basi nitaufuta.. Hivi karibuni nikishapiga misele huko PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Shunie Mungu anatuona sote unajua. [emoji2]Hahaahhaha nacheka sana ila word wewe Mungu anakuona
Hahhaha ebu uko
Nitakuja pmMmmhhh sio vizurii
Hata simjui mm ni Mkisiaji mzuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]