Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Tunaiaga 2018 mujarabu kabisa[emoji23]
Tunatumia tochi mchana... Ngumu kumnasa mlengwa aisee.. Nipo kama sipo[emoji85][emoji4][emoji4] nitaftie bas mlengwa na ww ah!umeadimika...upo!
mlengwa naye hajatokeA[emoji18].atakuwa offline labda
Tunatumia tochi mchana... Ngumu kumnasa mlengwa aisee.. Nipo kama sipo[emoji85]
Pekua tuu taratibu utaona mtu alivyochinjiwa baharini.Ametokea kumbe?duh bas mie nipo interior sijaona...ngoja nisome
Kidogo sasa. Ndiyo maana bimdada kaogopa kumfuata pm[emoji39][emoji39][emoji39].[emoji23][emoji23][emoji23]bas kweli relief ana ringa[emoji18]
Amemkataaje tena wakati alishasema kwake kucheat hata kama ana mke ni kawaida?
Kidogo sasa. Ndiyo maana bimdada kaogopa kumfuata pm[emoji39][emoji39][emoji39].
Sent using Jamii Forums mobile app
Amemkataaje tena wakati alishasema kwake kucheat hata kama ana mke ni kawaida?
Kwanini baadhi ya wanaume hawapati nyumba ndogo? - JamiiForums
Amemkataaje tena wakati alishasema kwake kucheat hata kama ana mke ni kawaida?
Kwanini baadhi ya wanaume hawapati nyumba ndogo? - JamiiForums
[emoji23][emoji23] kumbe kweli huwa ana nyodo?hhaha ngoja nimuite
Tupo hapa kufurahi tu nkoyi. Mambo ya JF haya utayaweza? Hapa akili za kuambiwa inabidi uchanganye na zako sabini mara sabini na kuzidi. Vinginevyo ni hatari tupu [emoji16][emoji16][emoji16]hahahaa mnamchokoza rafiki angu relief nyie..ah
Tupo hapa kufurahi tu nkoyi. Mambo ya JF haya utayaweza? Hapa akili za kuambiwa inabidi uchanganye na zako sabini mara sabini na kuzidi. Vinginevyo ni hatari tupu [emoji16][emoji16][emoji16]
This crazy world madam.. To do is to chill[emoji13][emoji23][emoji23]Alafu kuna mchizi wangu m1 ameniambia eti huyu aloandika huu uzi anahis ni mm...aliniudhi[emoji18][emoji18]... eti kisa amesema bwanakr anakunywa pombr[emoji23]akahis ni mm tu khaa!aiseee kuwa na id 2 inahitaj wito!nikamwambia sio mm na haitakuwa!...huyu sijui lengo lake ila mbn pm ni kipimo tosha[emoji4]...si unamuanza tu mtu mwishowe mnazoeana..bahat mbaya men naye akuelewe...easy kishenzi!
This crazy world madam.. To do is to chill[emoji13]