Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Rudi ulikotoka haraka pleaseeeeeAna wengi wanaompenda sasa yeye anachagua. Halafu si unajua mtoa mada kasema mzee baba anaringa?
Mkuu ingekuwa ni wewe kama nakuona vile ungatangaza ndoa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
uenda kuna mtu anakutega..au ni rafikiChief huyu mtu nahisi katumwa na njiwa. Ni kama mtu asiejulikana hivi
Nimekwambia dark angel Rudi ulikotoka
Rudiiiii ulikotokaaaaaaHilo batasamu linaashiria ummekubali mkuu.
Shoo la kibabe sasa lini? Leo au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia dark angel Rudi ulikotoka
Now you can assure me you manage the sleeper so well[emoji102]Chief huyu mtu nahisi katumwa na njiwa. Ni kama mtu asiejulikana hivi
Kaka hatukupi likes mtu anataka kufa kwa ajili yako muelewe basi umkate kiu yakeTunaharibiana wadau
[emoji102]Rafiki atakuwa anakufuatilia na anatamani kujua huko pm mmemalizanaje. Umekubali au umekataa? Na shoo ya kibabe lini?
Mwaga mchele hadharani maana uliletwa hadharani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Broo it's sooo fu.ck.ing threatening. Watu hawana uogaNow you can assure me you manage the sleeper so well[emoji102]
Rudiiiii ulikotokaaaaaa
Hayaendi kivipi fanya mamboNa wala anayoyasema sinayo. Noma sana, anafanya mambo yangu hayaendi sawa sasa.
Yaani umenikomalia hapa mpaka uhakikishe umeondoka na roho yangu. Hebu nenda huko piemuni nimekutextMimi ni kuwadi mkuu. Nataka kujua jf relationship status yako mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
No comment, your honour!!!
Khaa, madameHilo batasamu linaashiria ummekubali mkuu.
Shoo la kibabe sasa lini? Leo au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba mrejesho baada ya game plzdark angel hujambo?? Mdau nimemalizana nae huko piemuni hahahahaah
So whats kawth she is up to?Broo it's sooo fu.ck.ing threatening. Watu hawana uoga
Yaani umenikomalia hapa mpaka uhakikishe umeondoka na roho yangu. Hebu nenda huko piemuni nimekutext