Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Rudi ulikotoka haraka pleaseeeeeAna wengi wanaompenda sasa yeye anachagua. Halafu si unajua mtoa mada kasema mzee baba anaringa?
Mkuu ingekuwa ni wewe kama nakuona vile ungatangaza ndoa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app