Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka nkutongoze wewe??Naona umeamua kujitongoza mwenyewe,
Jamani nampenda kweliii, siwezi muharibia eti[emoji23][emoji23][emoji23]watu na bahati zao za mtende [emoji114][emoji114],usije ukamponza kaka wa watu akaliwa tigo lakini
Bora ata umeandika point kidogo maan onyo kitu cha muhimu saan[emoji23][emoji23][emoji23]watu na bahati zao za mtende [emoji114][emoji114],usije ukamponza kaka wa watu akaliwa tigo lakini
Huu ndio tunaita ujasiriNamimi tareh 1 ntamtaja nimpendae, tena kwa id hii hii kwani sh. Ngapi?
Hata sijielewi maana simuaminiamini hivi. Ila nampenda jamani utani mbaliSawa binti,unaupendo wa dhati kweli kweli aisee..
Wewe huwez dear?Huu ndio tunaita ujasiri
Ila kitendo cha kusema huwa unagombana na mtu wako aache pombe huoni mwanaume wako anaweza kukugundua au akahisi ndio wewe akaanza kufuatilia nyendo zako?Jamani nampenda kweliii, siwezi muharibia eti
Walah sina huo ujasiriWewe huwez dear?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekoma Ku like comments za Wakaka humu ndanii kumbe tunaumiza watu bila kujua jmaan..!![emoji17]
Hujapenda wewe!Walah sina huo ujasiri
Hahahahaa mfyuuuuHili joto nalo ni kikwazo ngoja nivue shati kwanza
mtu wa kusiniSio mgogo ni mzigua
PengineHujapenda wewe!
Jamani nampenda huyu mkaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wooozer woozer Reliefz acha kumuumiza mtoto huku
Eee muumba wa mbingu na ardhi nakuomba umlinde uyu mja wako na kam ikikupendeza basi unichukue mimi na yeye umuache, amina.Namimi tareh 1 ntamtaja nimpendae, tena kwa id hii hii kwani sh. Ngapi?
Ahsante jamani. wewe ni muelewa sanaKweli ukifunguka ukweli juu ya umpendae na moyo unakuwa na aman.
Hata mhusika sidhan kama atakufikiria vbaya kwanza umeonyesha ujasiri wanaoshindwa wengi. Hongera sana