Nampenda sana Relief Mirzska

Nampenda sana Relief Mirzska

[emoji23][emoji23]Alafu kuna mchizi wangu m1 ameniambia eti huyu aloandika huu uzi anahis ni mm...aliniudhi[emoji18][emoji18]... eti kisa amesema bwanakr anakunywa pombr[emoji23]akahis ni mm tu khaa!aiseee kuwa na id 2 inahitaj wito!nikamwambia sio mm na haitakuwa!...huyu sijui lengo lake ila mbn pm ni kipimo tosha[emoji4]...si unamuanza tu mtu mwishowe mnazoeana..bahat mbaya men naye akuelewe...easy kishenzi!
Hajui kufananisha mwandiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom