Sijafikia ujinga huo.We hujapenda kaka.
Muamala wa huduma za majeneza, kwahiyo ukiolewa utakuwa unajihimu asubuhi muhimbili kufungua duka la majeneza duuu biashara nyingine zataka moyo kwakweli. RUBIII usiseme unanuksi watu wamekujia hebu funguka buana
hata mimi namtamani sema mimi huwa ninapenda ndani kwa ndani.Aisee, huyu Rubii anaonekana ana mvuto sana mpaka Mbwa kamtamani.
Hahaha sawa mkuuhata mimi namtamani sema mimi huwa ninapenda ndani kwa ndani.
Yapi??Utaweza kumnunulia yale masidiria?!
Itakuwa Rubii Umesha Mchongea Jeneza la KISASA kabisa!!!!!!
Duuh Rubii popote Ulipo Usiende tafadhari........
Bebe hilo tongozo umelielewa?Ha ha ha a a Jamani