Nampenda sana Rubii..!

Nampenda sana Rubii..!

Umeshawahi kumwona? kama ni hiyo avatar si udowload tu....Usije kutulalamikia hapa.
 
Kumbe una pesaeee!
kwakuwa pesa unayo ungeweka na vigezo vyako sura, umbo, rangi nk
usijekuwa ni kituko japo pesa unayo
 
Mimi sijui nani ananipenda humu ndani jamani. Ila nahisi faizza foxy atakuwa ananizimia japo kikongwe lakini hamna shida maana ni sunna kuoa mwanamke aliyekuzidi umri buana.
 
Muamala wa huduma za majeneza, kwahiyo ukiolewa utakuwa unajihimu asubuhi muhimbili kufungua duka la majeneza duuu biashara nyingine zataka moyo kwakweli. RUBIII usiseme unanuksi watu wamekujia hebu funguka buana


Unadhani mimi nina tatizo na majeneza yake mkuu? Tatizo huyu Mbwa dume hajui kujiongeza
 
Kumbe ndo maana rubii nikimwambia awe mwanandani wangu ananinyamazia kumbe kuna mbwa
 
Itakuwa Rubii Umesha Mchongea Jeneza la KISASA kabisa!!!!!!

Duuh Rubii popote Ulipo Usiende tafadhari........
 
rubii kuna mbwa dume mkoma imekupenda.
Usiikatae itakuhonga JENEZA la kisasa uwe unalala
 
Back
Top Bottom