Nampenda sana Shunnie

Umesema shunie ndo kakufanya ujiunge jf, ina maana ulishamjua nje ya jf? Kama ndivyo kwanini usingemuimbisha huko huko ulipomjua?
You missed the point. Ni kwamba Nilikuwa nasoma comments zake zuri zilizojaa hekima na busara as a guest. But baadae nikaona nijiunge ili nipate access ya kuonana naye.
 
Hvi sijakutumia!?Nilipitiwa tu etii!!

Hebu fanya kumtafuta naona vijana wamechachamaa!!!
Ndiwooo... asa Mbona leo hujatuma eti jamani...

Rafiki yetu kadondokewa humu aki....sijui yuko wapi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…