Nampenda sana Shunnie

Nampenda sana Shunnie

Hao watu mbona wako 7 mkuu na sio 8?!
Tazama vizuri hapa kipenzi...
images%20(1).jpeg
 
Umesema shunie ndo kakufanya ujiunge jf, ina maana ulishamjua nje ya jf? Kama ndivyo kwanini usingemuimbisha huko huko ulipomjua?
You missed the point. Ni kwamba Nilikuwa nasoma comments zake zuri zilizojaa hekima na busara as a guest. But baadae nikaona nijiunge ili nipate access ya kuonana naye.
 
Hvi sijakutumia!?Nilipitiwa tu etii!!

Hebu fanya kumtafuta naona vijana wamechachamaa!!!
Ndiwooo... asa Mbona leo hujatuma eti jamani...

Rafiki yetu kadondokewa humu aki....sijui yuko wapi sasa
 
Back
Top Bottom