Nampenda sana Sky Eclat

Wanaume wengi tumejengwa katika kutazama, kutamani na kisha ndo upendo.......!

Nilikua najiuliza kipofu anapenda vp? Kumbe huwa anaota. Asante mtoa mada kwa kunifumbua macho, nakutakia kila laheri mkuu....
 
Labda anaona soo kufunguka kwa id yake ya siku zote, au alikuwa anamsoma tu kaamua kujiunga ili atoe ya moyoni.
Good morning.
Mwenzetu anahisia kali sana upendo yaani ana kama week tu tangu ajiunge kashapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…