Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hahahaaa! Best unataka kumfungukia nani tena!!Kumbe kuna umuhimu wa kuwa na ID nyingine?
Umuhimu upo, hata mimi ilibidi nifungue nyingine baada ya ban.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa! Best unataka kumfungukia nani tena!!Kumbe kuna umuhimu wa kuwa na ID nyingine?
basi hii halali yao kuwaanzishia threadPM huwa wanakausha hawakujibu wala nini Mkuu.
Hivyo unakuta wanakuacha njia panda.
Hahaha best umenifungua nami itanibidi tu hamna namna...nitakujuza tu nitakae mfungukiaHahahaaa! Best unataka kumfungukia nani tena!!
Umuhimu upo, hata mimi ilibidi nifungue nyingine baada ya ban.
Hahahaaa!! Best mfungukie na hiyo hiyo ndio ataichukulia kwa uzito.Hahaha best umenifungua nami itanibidi tu hamna namna...nitakujuza tu nitakae mfungukia
Hivyo vigezo vyote ulivyotaja na physical vinapotea with time would you still love ha after 15 years when all are gone but LOVEAsalaam aleykum wana JF. Poleni na majukumu ya hapa na pale ya kutafuta riziki.
Lengo kubwa la kuleta huu Uzi mbele yenu ni kwamba nimetokea kumpenda sana huyu mdada SKY ECLAT. Umekuwa ukinitokea ndotoni mara nyingi sana nimevumilia nimeshindwa.
Ndotoni nimekuwa nikikuona mrembo uliyejaaliwa hivi vitu;
•mrembo uliyeenda hewani.
•mwenye umbo namba nane na msambwandwa wa kubinuka.
• Rangi ya chocolate( Rangi ya pesa)
• Una guu la champaign.
•Una mashimo mashavuni hata usipocheka yanaonekana.
•Midomo yako mizuri.
Nampenda na nina hisia kali sana juu yake. Napenda sana siku moja ndoto yangu itimie yani tuwe kitu kimoja( mume na mke) tujenge familia iliyo imara.
Sky Eclat naomba unielewe mdada kwa upendo million nilio nao juu yako.kila nikiona bandiko au hata comment yako kiukweli huwa napata faraja ya moyo asilimia 45℅.
Hivyo ili nipate faraja na amani ya moyo kwa asilimia zote mia inabidi hizo asilimia 55% uzikamilishe kwa kunipenda Kama navyofanya kwa upande wangu.
Nakupenda sana sky Eclat. Nina mengi ya kueleza juu yako ingawa maandishi hayatoshi kueleza Upendo wangu kwako isipokuwa tu moyo wangu.
Naomba kama hautojali nije PM tuyajenge mtoto mzuri Sky Eclat!
Nitahakikisha havipotei kihivyo Mkuu.Hivyo vigezo vyote ulivyotaja na physical vinapotea with time would you still love ha after 15 years when all are gone but LOVE
Yah brotherIle kauli mbio mapenz popote
Ndiyo hivyo brotherbasi hii halali yao kuwaanzishia thread
Kitu cha muhimu ni Upendo Mkuu.Kwa Mujibu wa ndoto zako unadai ni mrembo cjui mzuri, mrefu, vishimo cjui vya nini na sifa kede!!
Ss kama ukimkuta ni mbibi aliekula chumvi zake za kutosha na ni mfupi dizaini ya wale wa kule kilombero na mweusi dizani ya wa kule tukuyu.....je upo tayar ndoto yako ya kuwa nae kama mke na mume itimie!?
Unamuotaje mtu haumjui.haujawahi kumuona,picha tu ambayo sio yake.na jina pia sio lake.UNAMUOTA VIPI?Kwahio na mimi wanawake wote humu ambao nawaota unaniambiaje?
Kwa hii itakuwa noma nikitoswa ila kwa Id mpya itakuwa poa maana sitakuwa naitumia sanaHahahaaa!! Best mfungukie na hiyo hiyo ndio ataichukulia kwa uzito.
JitahidiKitu cha muhimu ni Upendo Mkuu.
Age is just a number!
Sema lolote na nafsi yake itaponaNimwishiwa pose mkuu sina la kusema, leo nimepatikana.
Hahahaaaa!! Nitakutetea best hautotoswa bwana.Kwa hii itakuwa noma nikitoswa ila kwa Id mpya itakuwa poa maana sitakuwa naitumia sana
Kijana utashushwa busha ww....huyu ana wengi