Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kutoswa ni kawaida katika harakati za kutongoza ila kupuuzwa na kukataliwa inaumiza sana na ndio mana inabidi Id mpya itumikeHahahaaaa!! Nitakutetea best hautotoswa bwana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoswa ni kawaida katika harakati za kutongoza ila kupuuzwa na kukataliwa inaumiza sana na ndio mana inabidi Id mpya itumikeHahahaaaa!! Nitakutetea best hautotoswa bwana.
Mjulisheni na kumsisitiza afanye hivyo.Sema lolote na nafsi yake itapona
Hahaaaa!! Kwahiyo id mpya itapunguza machungu sio!!Kutoswa ni kawaida katika harakati za kutongoza ila kupuuzwa na kukataliwa inaumiza sana na ndio mana inabidi Id itumike
Brother BAK,Tena busha la mbele na la mgongoni hahahahahahaha lol! Eti kaja na ID mpya kumtongoza binti wa kwa mtogole.
Jovitha ngoja na wewe nikuanzishie Uzi labda utanielewaOnly seven days
PM huwa wanakausha hawakujibu wala nini Mkuu.
Hivyo unakuta wanakuacha njia panda.
Inapunguza Sana...maana unakuwa umeifungua kwa special purpose...wewe chunguza wengi wanaofunguka wanatumia Id mpyaHahaaaa!! Kwahiyo id mpya itapunguza machungu sio!!
Mm nakuelewa wewe nakuja na thread yakoHahahaaa!! Ndoto zingine bwana!!!
Hahahaaa!! Na kweli aisee!!Inapunguza Sana...maana unakuwa umeifungua kwa special purpose...wewe chunguza wengi wanaofunguka wanatumia Id mpya
Wote inaruhusiwa tu ila wengi ni wanaume...others wanafungukiana PM[emoji1] [emoji1]Hahahaaa!! Na kweli aisee!!
Hivi huku kufunguka ni wanaume tu au hata wanawake wanaruhusiwa!!!
Basi hata mimi nampendaHapana.
Yuko single bado Mkuu.
Si utafute mwanamke mwingine Mkuu.Basi hata mimi nampenda
Hii ni scramble for partition Mkuu. Nimeshaingia PM kwake kitamboSi utafute mwanamke mwingine Mkuu.
Niache kwanza nikishindwa nitanyoosha mikono ili uanze wewe.
Akuuuu samahani km pm sijakuelewa hapa ndiyo nitakuelewaJovitha ngoja na wewe nikuanzishie Uzi labda utanielewa
Best kumbe expert eeh!!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Wote inaruhusiwa tu ila wengi ni wanaume...others wanafungukiana PM[emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si utafute mwanamke mwingine Mkuu.
Niache kwanza nikishindwa nitanyoosha mikono ili uanze wewe.