Nampenda sana Sky Eclat

Achana naye ni shemegi yako huyo tafadhali,mbona nyie vijana mnakera hivi?Tusigombane kwa vitu kama hivi wanawake ni wengi tafuta wako!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yawezekana ni member wa siku zote kaamua kumfungukia kwa id nyingine, au ni fan wake huwa anamsoma tu kama guest, sasa kaamua kujiunga rasmi.
Nilikuwa namsoma muda mrefu sana.
 
Acha mambo yako Mkuu.

Labda umuache wewe
Kijana unatafuta matatizo,usije kusema sikukutahadharisha au kukuonya,huyu na paprika kaeni mbali we si uende kwa miss Chagga au Miss natafuta au lile li ndumbisa?
 
Watu wameanza na kuzinguana utafikiri wamewahi kumuona maana nimeshtukia tu watu wanakoromeana eti dogo hyo ni shem wako naomba umuache jamaa nae anasisitiza labda amuache yy [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…