Nampenda sana Sky Eclat

Kwa Mujibu wa ndoto zako unadai ni mrembo cjui mzuri, mrefu, vishimo cjui vya nini na sifa kede!!

Ss kama ukimkuta ni mbibi aliekula chumvi zake za kutosha na ni mfupi dizaini ya wale wa kule kilombero na mweusi dizani ya wa kule tukuyu.....je upo tayar ndoto yako ya kuwa nae kama mke na mume itimie!?
 
Hahahaaa! Best unataka kumfungukia nani tena!!
Umuhimu upo, hata mimi ilibidi nifungue nyingine baada ya ban.
Hahaha best umenifungua nami itanibidi tu hamna namna...nitakujuza tu nitakae mfungukia
 
Hivyo vigezo vyote ulivyotaja na physical vinapotea with time would you still love ha after 15 years when all are gone but LOVE
 
Hivyo vigezo vyote ulivyotaja na physical vinapotea with time would you still love ha after 15 years when all are gone but LOVE
Nitahakikisha havipotei kihivyo Mkuu.

Nitampeleka gym, msosi mzuri so siku zote ataonekana kama binti wa mikai 20 kumbe ana miaka 40. Kama atanikubalia lakini.
 
Kitu cha muhimu ni Upendo Mkuu.

Age is just a number!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…