Nampenda sana Sky Eclat

Mkuu bado haujakamilisha hitaji la moyo wako?
Bado Mkuu.

Ingawa nimewasilisha ishu mezani mrembo akasema nimpe muda kidogo.

Hivyo niko hapa nasubiri matokeo kwa hamu sana. Japo nimejiandaa kivyote vyote Mkuu.
 
Bado Mkuu.

Ingawa nimewasilisha ishu mezani mrembo akasema nimpe muda kidogo.

Hivyo niko hapa nasubiri matokeo kwa hamu sana. Japo nimejiandaa kivyote vyote Mkuu.
Ooh,

Basi mkishakubaliana kama ombi lako litakuwa zuri mwambie akutambulishe kwa kaka.
 
Mambo ya mitandao bana, picha yenyew alioweka sio yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…