mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,568
- 6,424
Wonderful, he might be a native but new a/cHata mwezi hujamaliza tangu ujiunge JF ushapenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wonderful, he might be a native but new a/cHata mwezi hujamaliza tangu ujiunge JF ushapenda
Una ugonjwa kama wanguHongera kwa kupenda maana mimi huwa naishia kutamani
Ukijibiwa unambieMleta uzi anadai kuwa una chura iliyobinuka, kuna ukweli wowote hapo?[emoji30][emoji30][emoji30]
Bi dada, msikilize kijana anadai halali usiku unau take over usingizi wake wote... Ko usimwangushe jamaa atakonda....Nimwishiwa pose mkuu sina la kusema, leo nimepatikana.
Sio kila ndoto ni halisi, zingine huwa ni kuweweseka mwanangu.Dad we huwa hauoti kwani?
Labda anaona soo kufunguka kwa id yake ya siku zote, au alikuwa anamsoma tu kaamua kujiunga ili atoe ya moyoni.Hata mwezi hujamaliza tangu ujiunge JF ushapenda
Hahahaaaa!! Kwahiyo yawezekana mtoa mada anaweweseka tu!!Sio kila ndoto ni halisi, zingine huwa ni kuweweseka mwanangu.
Mwenzetu anahisia kali sana upendo yaani ana kama week tu tangu ajiunge kashapendaLabda anaona soo kufunguka kwa id yake ya siku zote, au alikuwa anamsoma tu kaamua kujiunga ili atoe ya moyoni.
Good morning.
TrueWonderful, he might be a native but new a/c
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwenzetu anahisia kali sana upendo yaani ana kama week tu tangu ajiunge kashapenda
[emoji3][emoji3]Sio kila ndoto ni halisi, zingine huwa ni kuweweseka mwanangu.