Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 797
- 2,314
Hizo nongwa mzee! Jamii forum mdada akiwa active kil mada mara kashapendwa. Mlianzaga mambo hayo kwa ephen_ mkaja kwa bebi mama langu Lamomy . Sahiv mmehamia kwa mdada wa watu? Huko mitaani unakoishi madem wa kuwapenda hakuna?Seran wewe ni zabibu na muhibu
Wewe ni upendo na mrembo.
Tafadhari nipe nafasi hata tufahamiane, unijue.
kama kweli haupo na bwana yule mwenye majina ya initials ya jina la kwanza E na la mwisho C adui wa kobazi JF
Maana nawaona mkicheka kila post pamoja na inaniuma sana.
Nilikuwa nakutafuta mwanetu....🤣🤪Unapenda kujiamlia mambo mwanetu😅
Inakuwaje mtu unapenda fake ID na ukawa na hisia kabisa ?
Hahahaha,nilitaka nikuite mtumishiNilikuwa nakutafuta mwanetu....🤣🤪
Nimejaa tele mwanetu😁Nilikuwa nakutafuta mwanetu....🤣🤪
Ngoja Kaka yake mlevi EliNyahu ELI COHEN amalizie kunywa Visungura aje humu kiwake 🔥Seran wewe ni zabibu na muhibu
Wewe ni upendo na mrembo.
Tafadhari nipe nafasi hata tufahamiane, unijue.
Kama kweli haupo na bwana yule mwenye majina ya initials ya jina la kwanza E na la mwisho C adui wa kobazi JF
Maana nawaona mkicheka kila post pamoja na inaniuma sana.
Jamaa kasemaNina tabu mimi shemeji yangu😁
Kumbe we karembo??Seran wewe ni zabibu na muhibu
Wewe ni upendo na mrembo.
Tafadhari nipe nafasi hata tufahamiane, unijue.
Kama kweli haupo na bwana yule mwenye majina ya initials ya jina la kwanza E na la mwisho C adui wa kobazi JF
Maana nawaona mkicheka kila post pamoja na inaniuma sana.
Hamtanipa talaka kweli? Mbona kama unataka kuniponza shemeji yangu kabisa😄Jamaa kasema
wewe ni zabibu na muhibu
Wewe ni upendo na mrembo.
Tafadhari mpe nafasi hata mfahamiane, mujuane shemeji yangu
Haha!!Za kuambiwaHamtanipa talaka kweli? Mbona kama unataka kuniponza shemeji yangu kabisa😄